Pre GE2025 Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka

Pre GE2025 Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vyeo huwashepu watu
Tundu LISU nimemwona kwamara ya kwanza akizungumza kama kiongozi na sio mwanaharakati...nje ya mahakama
 
Mahakama Kuu ya Tanzania, masijala kuu jijini Dar Es Salaam imegiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.

Dkt. Slaa na jopo la mawakili wake walifungua shauri la mapitio la kesi yake katika Mahakama Kuu akipinga mwenendo wa Mahakama ya Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa suala la dhamana yake kutokana na maombi ya kupinga dhamana yake yaliyotolewa na Jamhuri.

Jaji Arnold Kirekiano leo Januari 30, 2025 amesema kwa kuwa kesi ya msingi iko Mahakama ya Kisutu ambayo ina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo na kwa kuwa hoja ya uhalali wa mashtaka ilishatolewa Kisutu na inasikilizwa na kupangiwa uamuzi amesema si vyema Mahakama Kuu kuingilia kati. Hivyo Jaji Kirekiano ameelekeza Mahakama ya Kisutu itoe uamuzi ambao ilishauandaa.

Dkt. Slaa alikosa dhamana tangu alipopanda kizimbani Januari 10, 2025 kusomewa shitaka linalomkabili la kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa X.
Soma, Pia:
Wazee wa maagizo kutoka juu
 
Taifa linaongoza kwa laana ndiyo maana hata mvua hazinyeshi, unamfunga mtu tena babu kisa kosa ambalo linadhamana kwanini nchi isipate laana? yaani hutaki kukosolewa kisa una mamlaka. Trump tunyooshee hawa wajinga
HUYO KIBAKA NI MUHUNI TUH,ACHA ANYEEE DEBE
 
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi

Hashindani na mtu. Yupo kwa maslahi ya nchi yake, hajakubali kuwa chawa. Unamvua ubalozi na kumfunga mzee bila sababu yoyote ya msingi kumtesa na kumkomoa wakiombea afya yake iharibike.

Huyu mzee mchango wake kutafuta demokrasia nchini ni mkubwa sana. Lakini mafisadi hawataki kumpa heshima yake.
 
Huwa tunawaambia huyu maza ni katili haswa kajificha kwenye dini
 
Subiri na mumeo siku akinyimwa dhamana kwa uonevu
KWAHIYO WEWE KWA KUWA MUMEO SLAA KAFUNGWA KWA UPUUZI WAKE UNAPIGA KELELE HAPA UNALIA KUMBE NI KWA SABABU UNAKOSA HUDUMA YA KUPIGWA MASHINE NA HUYO KIBAKA??

TAFUTA HATA VIJANA WA BODA BODA UWALIPE WAMSAIDIE MZEE KAZI MAMA.
 
UWT mnawaza ngono full time
 
Sasa angalia Upumbavu wa hiyo Mahakama ya kisutu.

Sheria ni ileile .

Mahakama kuu inaona ni haki ya Kupewa Dhamana.

Mpuuzi na Chawa wa Mahakama ya kisutu anaona sio Haki.

Yote Kwa yote, utashangaa kesho kutwa anateuliwa kua JAJI WA MAHAKAMA KUU.

hiyo ndo Tanzania Sasa
Hiyo yote imepangwa wanapiga danadana. Hata akitoka ameisha kaa jela zaidi ya mwezi, miezi kadhaa ni kama amehukumiwa tayari kifungo cha wiki, mwezi, miezi kadhaa.

Hii ni kama umuweke jela mtu mwenye umri kama wa Wassira, Warioba, Hafidh mume wa Samia kisa hupendi maoni yake. Hawana utu hawa mafisadi.
 
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
Kanuni ya wapi hiyo kuwa ukizeeka basi ukiona maovu usikemee?

Huyu ni jaji mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ana miaka 77 sio mara moja tu kajitokeza hadharani kuikemea serikali inapokwenda kinyume na katiba.

Tukubali tu mifumo ya Tanzania sio huru CCM ni mhimili wa serikali mahakama na bunge zinaipigia magoti hadi vyombo vya dola hiyo ni tiifu kwa CCM.

Mara ya mwisho lini umemsikia jaji mkuu mstaafu wa Tanzania amekemea maovu ya serikali hasa inapoingilia maamuzi ya kimahakama kupindisha haki?

images - 2025-01-30T130322.510.jpeg

View: https://youtu.be/QnGBTjTD-gQ?si=rb3i_NaWa30GMBCn
 
Taifa linaongoza kwa laana ndiyo maana hata mvua hazinyeshi, unamfunga mtu tena babu kisa kosa ambalo linadhamana kwanini nchi isipate laana? yaani hutaki kukosolewa kisa una mamlaka. Trump tunyooshee hawa wajinga
Babu hana justification ya kuropoka tu bila kufuata utaratibu. Alifanya hayo ndio madhara yake.
 
Back
Top Bottom