Pre GE2025 Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka

Pre GE2025 Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa angalia Upumbavu wa hiyo Mahakama ya kisutu.

Sheria ni ileile .


Mahakama kuu inaona ni haki ya Kupewa Dhamana.

Mpuuzi na Chawa wa Mahakama ya kisutu anaona sio Haki.

Yote Kwa yote, utashangaa kesho kutwa anateuliwa kua JAJI WA MAHAKAMA KUU.


hiyo ndo Tanzania Sasa
Ndiyo maana Trump anawadharau sana watawala wa nchi za kiafrika kwa upuuzi kama huu.
 
Wastage of time + misuse of resource za walipa kodi na kukomoa watu kipumbavu kwa mambo ya kijinga kabisa
 
Walengwa wanafikishiwa kwa kiasi kidogo sn, nchi imejaa misafara tupu kuanzia DC/RC mpaka juu na sababu ya maana hakuna, teua hamisha tengua zote ni pesa za walipa kodi, utapata maendeleo saa ngapi? fedha zipo lakini nidhamu ya matumizi hakuna zaidi ya wizi
Usijali wao ndo wataumia ngoja Trump akatishe misaada bwana big ben ila hio kuteua si matakwa ya kikatiba
 
Taifa linaongoza kwa laana ndiyo maana hata mvua hazinyeshi, unamfunga mtu tena babu kisa kosa ambalo linadhamana kwanini nchi isipate laana? yaani hutaki kukosolewa kisa una mamlaka. Trump tunyooshee hawa wajinga
Badala uwanyooshe wewe unampa jukumu Trump.
 
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
Akili ya kimaskini sana. Kufikiri kula na kulala ndio kika kitu kwenye maisha.

Wenzako wanatafuta haki kwa vijukuu vyao wewe unaona mlo tu ndio muhimu. Shida sana
 
Sasa aachiliwe,hakuna madhara Tena. Uchaguzi chadema umeisha.
Ana kelele sana
 
Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar Es Salaam imegiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake kwa haraka.

Soma, Pia:
Haraka yaani is izidi mwezi 1
 
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
Zaidi ya ukubwa wa matako yako na ujinga ulivyo navyo, unamzidi kipi?
 
Kukaa mahabusu kunatia mtu adabu, nywele zote nyeupeee na macho yanatia huruma kabisa
 
Back
Top Bottom