kaa chini
JF-Expert Member
- Jun 4, 2022
- 1,935
- 4,048
Akili zako zimeishia m.a.t.a.k.o.n.i, angekuwa mzee wako au wewe ungeandika huu ujinga?Huyu naye aache kuropoka ropoka hovyo. Ona sasa hao akina Maria Sarungi hata hawamsaidii😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zako zimeishia m.a.t.a.k.o.n.i, angekuwa mzee wako au wewe ungeandika huu ujinga?Huyu naye aache kuropoka ropoka hovyo. Ona sasa hao akina Maria Sarungi hata hawamsaidii😂
Ndiyo maana Trump anawadharau sana watawala wa nchi za kiafrika kwa upuuzi kama huu.Sasa angalia Upumbavu wa hiyo Mahakama ya kisutu.
Sheria ni ileile .
Mahakama kuu inaona ni haki ya Kupewa Dhamana.
Mpuuzi na Chawa wa Mahakama ya kisutu anaona sio Haki.
Yote Kwa yote, utashangaa kesho kutwa anateuliwa kua JAJI WA MAHAKAMA KUU.
hiyo ndo Tanzania Sasa
Wacha zimtese.Tulia basi, Mzee Njaa zake zinamtesa;...
Kwa hiyo wewe unafikiri huna ma.ta.ko. au?Akili zako zimeishia m.a.t.a.k.o.n.i,...
Huwezi kuona anatesa wazanzibar wenzakeSamia analaanika hivi hivi kwa kumtesa huyu mzee
Usijali wao ndo wataumia ngoja Trump akatishe misaada bwana big ben ila hio kuteua si matakwa ya kikatibaWalengwa wanafikishiwa kwa kiasi kidogo sn, nchi imejaa misafara tupu kuanzia DC/RC mpaka juu na sababu ya maana hakuna, teua hamisha tengua zote ni pesa za walipa kodi, utapata maendeleo saa ngapi? fedha zipo lakini nidhamu ya matumizi hakuna zaidi ya wizi
Badala uwanyooshe wewe unampa jukumu Trump.Taifa linaongoza kwa laana ndiyo maana hata mvua hazinyeshi, unamfunga mtu tena babu kisa kosa ambalo linadhamana kwanini nchi isipate laana? yaani hutaki kukosolewa kisa una mamlaka. Trump tunyooshee hawa wajinga
Unajua gharama za kumteua DC mpya na kumsitaafisha wa zamani?Usijali wao ndo wataumia ngoja Trump akatishe misaada bwana big ben ila hio kuteua si matakwa ya kikatiba
Trump ndiyo baba wa ulimwengu kwasasaBadala uwanyooshe wewe unampa jukumu Trump.
Ni kinyume na katiba?Unajua gharama za kumteua DC mpya na kumsitaafisha wa zamani?
Akili ya kimaskini sana. Kufikiri kula na kulala ndio kika kitu kwenye maisha.huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
Kwa hiyo katiba ikiruhusu ndiyo uchezee fedha za umma? una akili kweli wewe?Ni kinyume na katiba?
Haraka yaani is izidi mwezi 1Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar Es Salaam imegiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake kwa haraka.
Soma, Pia:
- PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo
- LHRC: Mamlaka itoe haki ya dhamana kwa Dkt. Slaa, ni haki yake
- Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumnyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu
Big ben si tumesema utawala unaofuata sheria sa c ndo huo wa katibaKwa hiyo katiba ikiruhusu ndiyo uchezee fedha za umma? una akili kweli wewe?
Zaidi ya ukubwa wa matako yako na ujinga ulivyo navyo, unamzidi kipi?huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi