Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Na watu wake woteMungu ibariki Chadema
Kelele zote upo humu JF, kisutu huonekani.Mungu ibariki Chadema
Amesahau: Muosha huoshwa.Hivi Sirro hajui kuwa kuna siku kibao kinaweza mgeukia?!
Tatizo mnalalamika sanaNarudia tena, tuna Jeshi la ajabu mno na linatia aibu sana sana, wamemshikilia kwa siku kibao, Mawakili wa Chadema wameenda mahakamani, Polisi wameona mambo yanakua magumu wamemuachia. Sasa tuna jeshi au genge?
OMARI MAHITA , IGP ambaye rekodi yake ya ukatili bado haijavunjwa , baada ,ya kustaafu aliburuzwa mahakamani kwa kesi ya fedheha ya ubakaji wa House girl wake mwenyewe na kumjaza mimba , halafu kukataa matunzo ya mtoto , baada ya mtoto kuletwa mahakamani kama kielelezo hata vipofu waliona , yaani mtoto ni mahita copyright !Hivi Sirro hajui kuwa kuna siku kibao kinaweza mgeukia?!
Ndio maana kaachiwa? Sijaona connectionTatizo mnalalamika sana
Umesoma? Na kama umesoma umeelewa? Kwahio wao Polisi ndio wana mamlaka ya kumshikilia MTU bila kumpeleka mahakamani kwa 15days plus? Ndio Kanuni zao zinavyosema?? Msiropoke mnakerakamwe Demokrasia ya Vurugu haikubaliki ktk nchi hii ya Tanzania.
Vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama kamwe havito mvumilia mtu yeyote yule atakaye jifanya yeye anaijua sheria zaidi ya Jeshi la polisi...
Baadae watamkamata tenaNdio maana kaachiwa? Sijaona connection
Yaani we jamaa kwaiyo kujua sheria zaidi ya polisi ni kosa, hata hao polisi hawako juu ya sheria mahabusu mtumiwa hatakiwi kukaa zaidi ya masaa 48 Sasa huoni hapo polisi wanavunja sheria makusudi inatakiwa ifikie kipindi polisi waanze kujitambuakamwe Demokrasia ya Vurugu haikubaliki ktk nchi hii ya Tanzania.
Vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama kamwe havito mvumilia mtu yeyote yule atakaye jifanya yeye anaijua sheria zaidi ya Jeshi la polisi...