Labda tuambie huo utukutu unaousema,kwani kuandaa vikao vya chama ni utukutu, kuomba mchakato wa katiba mpya ni utukutu?
Alafu mbona tunaona CCM wanafanya vikao bila kibughudhiwa wala kukamatwa na polisi
Mbona tumeona katibu mwenezi wa CCM na katibu wa UVCCM wamezunguka maeneo mbalimbali wakifanya vikao na mikutano ya hadhara ila hawasumbuliwi na polisi au ndio kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Ila kuna siku itakuja watu hawatakubali tena kunyamazishwa ndio mtaona wa unyanyasaji na uonevu wa polisi