shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Hahaha vuneni mlichopanda, mlishangilia sana kifo cha JPM mkadhani wasaidizi wake walikuwa wanafurahi mnavyomnanga marehemu, ngoja mpaka akili zikae sawa pimbi wakubwa. Heshimuni mamlaka, muwa na adabu na bado pimbi nyieJana kwenye Space hili jambo lilijadiliwa kwa kirefu jinsi walivyonyanyasa Dada wa Watu bila kosa....
Bila shaka hizi Kesi zetu nyingi wana CHADEMA zitaweza Kujijenga Chama chetu na kutufanya tuitoe CCM Madarakani 2025 au?Mungu ibariki Chadema
Sasa matusi ya nini? Mbona hata nyie mtakufa tu na nitashangilia? Ukijafanya kuleta lugha chafu ujue Mimi Nina lugha za kuudhi hadi ubadilishe ID kama wale mbwa wenzio. So ujibu kwa heshimaHahaha vuneni mlichopanda, mlishangilia sana kifo cha JPM mkadhani wasaidizi wake walikuwa wanafurahi mnavyomnanga marehemu, ngoja mpaka akili zikae sawa pimbi wakubwa. Heshimuni mamlaka, muwa na adabu na bado pimbi nyie
Bila shaka hizi Kesi zetu nyingi wana CHADEMA zitaweza Kujijenga Chama chetu na kutufanya tuitoe CCM Madarakani 2025 au?Narudia tena, tuna Jeshi la ajabu mno na linatia aibu sana sana, wamemshikilia kwa siku kibao, Mawakili wa Chadema wameenda mahakamani, Polisi wameona mambo yanakua magumu wamemuachia. Sasa tuna jeshi au genge?
Kwahiyo polisi ndio wanajua sheria?kamwe Demokrasia ya Vurugu haikubaliki ktk nchi hii ya Tanzania.
Vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama kamwe havito mvumilia mtu yeyote yule atakaye jifanya yeye anaijua sheria zaidi ya Jeshi la polisi...
ifikie mahala sisi raia na haswa wafuasi na wanachama wa chadema waache vurugu na kujiona wao wana haki kuliko watanzania wengine.Yaani we jamaa kwaiyo kujua sheria zaidi ya polisi ni kosa, hata hao polisi hawako juu ya sheria mahabusu mtumiwa hatakiwi kukaa zaidi ya masaa 48 Sasa huoni hapo polisi wanavunja sheria makusudi inatakiwa ifikie kipindi polisi waanze kujitambua
yaani mtakuwa mnalalamika tu hivvyo na kibano mnapataJana kwenye Space hili jambo lilijadiliwa kwa kirefu jinsi walivyonyanyasa Dada wa Watu bila kosa.
Walivyoulizwa wakasema eti "TISS" ndio waliomkamata kwa makosa ya mtandao! Tangu lini TISS wakakamata na kuweka watu mahabusu?
Leo wameona moto wa Jana kwenye Space wameamua kumuachia faster, kuna siku watajichanganya wataingia cha kike
Hivi si CHADEMA walitoa maelekezo kuwa hakuna kuwawekea dhamana wanaokamatwa na polisi na kakuna kupeleka mawakili kwa ajili yao? Ina maana maelekezo ya Lissu wanachadema wameyapuuza kama walivyompuuza na yeye mwenyewe?Narudia tena, tuna Jeshi la ajabu mno na linatia aibu sana sana, wamemshikilia kwa siku kibao, Mawakili wa Chadema wameenda mahakamani, Polisi wameona mambo yanakua magumu wamemuachia. Sasa tuna jeshi au genge?
Kelele za mitandaoni ni muhimu sana. Zinaelimisha na kuhamasisha. Si wote wanaweza kwenda kisutu. Kelele zenye hoja zina nguvu sana, hasa zama hizi za ukandamizaji wa vyombo vya habari vya kawaidaKelele zote upo humu JF, kisutu huonekani.
Hahaha vuneni mlichopanda, mlishangilia sana kifo cha JPM mkadhani wasaidizi wake walikuwa wanafurahi mnavyomnanga marehemu, ngoja mpaka akili zikae sawa pimbi wakubwa. Heshimuni mamlaka, muwa na adabu na bado pimbi nyie
Mungu ana mambo mengi ya kufanya siyona kazi ya kubariki magenge ya magaidiMungu ibariki Chadema
Ni Sukuma Gang na MATAGA wanaolia?ππππππππ€£π€£π€£π€£Polisi hawa wajaabu dunia mzima hakuna!
Kwa kifupi, hii serikali inastahili vikwazo kwa uvunjifu wa haki za binadamu.
Labda tuambie huo utukutu unaousema,kwani kuandaa vikao vya chama ni utukutu, kuomba mchakato wa katiba mpya ni utukutu?ifikie mahala sisi raia na haswa wafuasi na wanachama wa chadema waache vurugu na kujiona wao wana haki kuliko watanzania wengine.
kwa utukutu walio nao chadema naunga mkono hatua zinazo chukuliwa na Jeshi la Polisi.
Chadema mkiacha utukutu Polisi hawato wasumbua. tusiwalaumu Polisi wakati Chadema ni watukutu.
Polisi wanafahamu jinsi ya kushughulika na watukutu na wakorofi.
Kama ni hivyo nyinyi ndiyo nmekufa wengi sana na waandamizi hawa wasaidizi pia watakufaHahaha vuneni mlichopanda, mlishangilia sana kifo cha JPM mkadhani wasaidizi wake walikuwa wanafurahi mnavyomnanga marehemu, ngoja mpaka akili zikae sawa pimbi wakubwa. Heshimuni mamlaka, muwa na adabu na bado pimbi nyie
Acha ujinga, hebu ficha ujinga wako hata kama unatumia ID fake. Neema sio Mbowe? Usikurupuke tuliza makalio. Hapa hakuna mshindi tunajadili hoja kwa hojaHivi si CHADEMA walitoa maelekezo kuwa hakuna kuwawekea dhamana wanaokamatwa na polisi na kakuna kupeleka mawakili kwa ajili yao? Ina maana maelekezo ya Lissu wanachadema wameyapuuza kama walivyompuuza na yeye mwenyewe?
SawaLabda tuambie huo utukutu unaousema,kwani kuandaa vikao vya chama ni utukutu, kuomba mchakato wa katiba mpya ni utukutu?
Alafu mbona tunaona CCM wanafanya vikao bila kibughudhiwa wala kukamatwa na polisi
Mbona tumeona katibu mwenezi wa CCM na katibu wa UVCCM wamezunguka maeneo mbalimbali wakifanya vikao na mikutano ya hadhara ila hawasumbuliwi na polisi au ndio kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Ila kuna siku itakuja watu hawatakubali tena kunyamazishwa ndio mtaona wa unyanyasaji na uonevu wa polisi
Matusi hayasaidii. Jenga hoja. Maelekezo ya Lissu hayakuwa kwa Mbowe tu. Alisema kila mwanachadema atakayekamatwa na polisi watamsusia polisi ili wamfanye wanavyotaka. Hakuna kumwekea dhamana. Haya yote yamepuuzwa. Hata kwa huyo Mbowe unayemsema, tunaona Chadema wamemwekea mawakili kibao tofauti na alivyoagiza Lissu kwamba asiwekewe dhamana. Maana yake Lissu amepuuzwa.Acha ujinga, hebu ficha ujinga wako hata kama unatumia ID fake. Neema sio Mbowe? Usikurupuke tuliza makalio. Hapa hakuna mshindi tunajadili hoja kwa hoja