Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Neema Mwakipesile wa BAWACHA Agosti 12, 2021

Kama kwa akili zako unaona kuwa tatizo lipo kwa Polisi walahi Tanzania tuna safari ndefu sana kufikia kuwa Taifa lenye raia wenye uelewa wa masuala!
 
Nchi inaelekea kubaya hasa mnapoongozwa na rais asiyeona aibu kusema uongo hadharani. Mama ametuangusha vibaya sana
 
Sasa matusi ya nini? Mbona hata nyie mtakufa tu na nitashangilia? Ukijafanya kuleta lugha chafu ujue Mimi Nina lugha za kuudhi hadi ubadilishe ID kama wale mbwa wenzio. So ujibu kwa heshima
Unafanya kosa kubwa sana ndugu yangu, kuyajibu hayo matakataka ya mikesha ya mwenge ni kuyapa umaarufu wasiostahili. Mengine haya hapa;
  1. Wakudadavuwa
  2. shamimuodd
  3. Redpanther
  4. GENTAMYCINE
  5. Jasusi Mbobezi
  6. Elitwege
  7. Idugunde
  8. Jumbe Brown
  9. Kamanda Asiyechoka
  10. johnthebaptist
  11. USSR
  12. Magonjwa Mtambuka
  13. Dr Akili
  14. JUMA JUMA
  15. Janjaweed
  16. mtanzania1989
  17. Phillipo Bukililo
  18. Mr Dudumizi
  19. digba sowey
  20. IDEGENDA
  21. Niza doyi
  22. Kivumishi Kielezi
  23. Gerald .M Magembe
  24. Jasusi Mbobezi
  25. Jay One
  26. Stuxnet
  27. Ezekiel Mbaga
  28. Latvia
  29. Iboya2021
Kama jina lako halipo na unajiona una sifa zote za kuunganishwa katika orodha hii nitumie ujumbe, nitafanya hivyo chap chap!
 
Hahaha vuneni mlichopanda, mlishangilia sana kifo cha JPM mkadhani wasaidizi wake walikuwa wanafurahi mnavyomnanga marehemu, ngoja mpaka akili zikae sawa pimbi wakubwa. Heshimuni mamlaka, muwa na adabu na bado pimbi nyie
Sasa pimbi wenu si alishakufa kwa covid,nendeni kaburini kwake mkashinde uchi ...siku ya tatu atafufuka malaika wenu mwenye file mirembe
 
Mliambiwa serikali ni ileile tofsuti ni me na ke, nawasalimu kwa jina la kazi iendelee.
 
Haya Wanachadema wenzangu mniambie sasa Mahakama zipo Huru au zimefungwa na Samia Suluhu Hassan ?
 
Sasa matusi ya nini? Mbona hata nyie mtakufa tu na nitashangilia? Ukijafanya kuleta lugha chafu ujue Mimi Nina lugha za kuudhi hadi ubadilishe ID kama wale mbwa wenzio. So ujibu kwa heshima
You are so fragile, man, yaani kuitwa pimbi tu tayari usha catch feelings
 
Haya Wanachadema wenzangu mniambie sasa Mahakama zipo Huru au zimefungwa na Samia Suluhu Hassan ?
Sikuwahi kumsikia SSH akisema kuhusu kufungulia mahakama. Halafu azifungeje tena wakati tayari zina kufuli la CCM/dola? Yeye sasa anafungua nchi, anafungua uchumi na keshafungua uhuru wa vyombo vya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…