Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Neema Mwakipesile wa BAWACHA Agosti 12, 2021

Narudia tena, tuna Jeshi la ajabu mno na linatia aibu sana sana, wamemshikilia kwa siku kibao, Mawakili wa Chadema wameenda mahakamani, Polisi wameona mambo yanakua magumu wamemuachia...

Wala hao polisi hawajali maana maagizo ya kumtesa wameshayatekeleza. Ilitakiwa Mkuu wa kituo cha polisi alipokuwa anashikiliwa afunguliwe mashtaka na kuwekwa ndani kwa kuvunja sheria ya kumshikilia mtu bila kumfikisha mahakamani, au kuwapa dhamana.
 
Hahaha vuneni mlichopanda, mlishangilia sana kifo cha JPM mkadhani wasaidizi wake walikuwa wanafurahi mnavyomnanga marehemu, ngoja mpaka akili zikae sawa pimbi wakubwa. Heshimuni mamlaka, muwa na adabu na bado pimbi nyie
Wewe Mbwa mwitu kuna mamlaka tanzania au kuna mbwa wa porini wanaojeruhi watu wakijiita jina takatifu polisi.
Mwendazake afadhali yeye amepumzika na funza zinamalizia pamoja na udongo lakini wewe na hao mbwa koko wanaojiita polisi siku zenu zinahesabika!
 
Si mlisema mwenzenu akikamatwa mtasusia hadi Polisi wamuache watavyojisikia. Sasa mawakili wa nini?
 
Neema ,pitia Mawakili wake wawafungulie kesi KWa majina yao police katika kituo alichokuepo,yani unamuweka mtu ndani 15 day bila kosa alafu unamuachia kiraisi tu, hili halikubaliki , wabuluzwe tu mahakamani
 
Kwahiyo polisi ndio wanajua sheria?
Hivi unaelewa ni muda gani mtu baada ya kushikiliwa anatakiwa afikishwe mahakamani?
Maria Space ya Twitter imejibu machawa wamerekodi na kuwapelekea Wazee,Dickson Matata na wenzie walivyopeleka Horbui Corpus wakaamua kumuachia hawa watesi.
 
jingalao na Troll JF tangu Magu amekata kamba siwasikii kabisa 🤣🤣
 
Chadema imepuuza maelekezo ya Lissu kwamba Chadema isiweke dhamana wala kufanya lolote kwa mwanachama wao anapokamatwa na polisi?
 
Jana kwenye Space hili jambo lilijadiliwa kwa kirefu jinsi walivyonyanyasa Dada wa Watu bila kosa...
TISS si ndiyo walikuwa wakimtumia ZZK enzi Zile Bungeni wapewe meno ikiwemo kukamatwa na kushitaki...vipi ilitungwa Sheria??
 
Nchi yetu ina mambo ya ajabu aisee..
 
kamwe Demokrasia ya Vurugu haikubaliki ktk nchi hii ya Tanzania.
Vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama kamwe havito mvumilia mtu yeyote yule atakaye jifanya yeye anaijua sheria zaidi ya Jeshi la polisi...
Kwamba Jeshi la Polisi linajua zaidi Sheria??
 
There is something seriously wrong with this country, sijui ni kwa ajili ya kuongozwa na wavaa nguo za kijani, rangi ambayo ni ya Aliens!
 
Wala hao polisi hawajali maana maagizo ya kumtesa wameshayatekeleza. Ilitakiwa Mkuu wa kituo cha polisi alipokuwa anashikiliwa afunguliwe mashtaka na kuwekwa ndani kwa kuvunja sheria ya kumshikilia mtu bila kumfikisha mahakamani, au kuwapa dhamana.
 
Haya.

Uonevu wa namna hii uliodhahiri kabisa, kiongozi wa nchi unakubali uchafu wa aina hii uendelee chini ya uongozi wako, bado unajigamba kuwa unaongoza kwa HAKI!
 
ifikie mahala sisi raia na haswa wafuasi na wanachama wa chadema waache vurugu na kujiona wao wana haki kuliko watanzania wengine.
kwa utukutu walio nao chadema naunga mkono hatua zinazo chukuliwa na Jeshi la Polisi...
Watukutu kwa nani na wa aina gani. Hata shuleni mwanafunzi anayepigania haki huonekana mtukutu. Mtoto akienda kinyume na baba mzembe ataonekana mtukutu. Nchi ya makondoo au wa ndio mzee haipimiki,!
 
Hivi ingetokea Polisi wamegoma kumuachia na kesho wasingeenda Mahakamani Mahakama ingekuwa na uwezo wa kuchukua hatua gani.

Nahitaji kuelewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…