Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Duh! ninampenzi wangu mchaga mzuri sana na hatujawahi kukosana lakini hizi habari za wachaga kuua waume zao zinaniogopesha.Nitaanza kumfanyia vituko ili akasirike na nipate sababu ya kumfukuza.Mchaga ni hatari Kwa maisha ya mwanaume.Ndoa na mchaga Sasa basi fullstop.
Akikasirika si ndio atapita na wewe.
 
Braza Mario kampeleka dada mzuri hasipostahili.
Nenda Gre but jua nitakusubiri mpaka urudi tutaendelea kuwa wote daima nitakutembelea na kukujulia hali .

Pole dada Gre ,jela sio mauti na sio kaburi utatoka ,leo hata kesho kikubwa mipango inaendelea.

Marehemu marioo umetuaibisha wanadasalam yaani unaenda kuneng'eneka kwa mtoto wa watu na vihela vyake huku ukijua kadudu kako hakajatulia ? Sifa zetu uwa ni kutafuta na kwenda ng'ambo kuhustle ,watoto wa kike sisi tunawahonga Ila yakizidi maisha kusaidiana Ila wewe umejiweka mazima kwa mpambanaji wa kike bila kujua hiko kidogo kakipatia wapi ,nenda marehemu marioo umetuaibisha sana
 
Back
Top Bottom