Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Anyongwe pale kwa lupaso tukio lirushwe live BBC, CNN & Al Jazeera
Nashauri anyongwe siku ambayo Arsenal atakua akicheza fainali ya champions league... Arsenal tukipiga kamba warushe updates huyu mchaga akiendelea kunyongwa,,, Arsenal tukivaa medali mnyongo uendelee kuonekana live... Tukionekana tukinyenyua kwapa tumuone huyu gold digger akikata roho... NI UNYAMA SANA
 
Zungu alikuwa mariooo,grace anamlea
Dem alizama kwa jamaa
Jamaa mambo ya mterezo gandalf
La ndizi ilimponza

Ova

Lakini mapenzi ni maelewano bila kujali ni mario au sio mario,
Kama mtu ummchoka mwenzio mwambie muachane au ondoka umwache salama.
Haya kuuana au kudhuriana yanatoka wapi?!

Kuwa mario sio kosa.
 
Mama yangu pia ni mmachame na ni mama bora, mpole na mchamungu kuwahi kutokea

Baba yako na ndugu wa baba yako ndio wanapaswa kushuhudia ,
Ushuhuda wako wewe unaweza kuwa biased, huwezi kuujua ukweli wa kile alivhofanyia Mume na ndugu zake including wakweze.
 
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba.

Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba tukio alilolitenda Julai 16, 2021 eneo la Mbezi Makabe Dar es salaam.

Ilivyokuwa...

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilithibitisha kumshikilia Grace Mushi maarufu mtaani kwao kwa jina la Neema kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake Hamis Abdallah โ€˜Zunguโ€™ ambaye alimmwagia Petroli akiwa ndani kisha kumchoma moto.

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Mbezi Makabe kwa Mzungu.

"Muda wa saa 8:30 usiku Mtuhumiwa huyu alimfungia ndani ya nyumba Hamis akammwagia mafuta ya Petrol na baadaye akachoma moto kitu kilichosababisha Hamisi kufarikiโ€

โ€œHamis alikua ni Rafiki yake wa kiume (Boyfriend), Mtuhumiwa alijaribu kutoroka lakini Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wananchi tukamkamkata na uchunguzi umebaini kulikuwa na mgogoro mkubwa wa kimapenzi kabla kufanyika kwa tukio hili la Kikatili
Safi sana Mungu aendelea kumpa Abdallah pumziko lenye heri inshallah sote ni wa kufa siku moja
 
Hapa zungu alijimix
Hizi mushi, moshi, mangi, manka ogopa sana tena kaa mbali ya kulee ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰usidanganyike
 
Mkichokana achaneni
 
Nimefanya kazi na wasichana wawili wa kimachame..aisee hawa walikuwa ni balaa ..walitofautiana na mchiz mmoja tuko ofisi moja...ebwanae Dada akamtandika mchizi kiti cha mguuu..jamaa tangia siku hiyo n heshima na adabu..hawa wanawake wa machame ubaya wao hawakubali kuonewa hata kama we we n baunsa atatafuta namna ya kukukalisha tu.
 
Duh! ninampenzi wangu mchaga mzuri sana na hatujawahi kukosana lakini hizi habari za wachaga kuua waume zao zinaniogopesha.Nitaanza kumfanyia vituko ili akasirike na nipate sababu ya kumfukuza.Mchaga ni hatari Kwa maisha ya mwanaume.Ndoa na mchaga Sasa basi fullstop.
 
Mchaga gani huyo anayeyumbishwa na mwanamme? Wanawake wa kichaga wapo mbio na maokoto na si mapenzi.

Huyo ndiyo basi tena atakuja kutoka after 20 yrs kwa msamaha wa rais.
 
Kwahiyo hukumu ya 'kunyongwa hadi kufa' huwa ni gelesha.

Sasa si Bora waifute tu, iandikwe kifungo cha maisha.

ipo ila mpaka rais adondoke wino ndiyo itekelezwe ila hakuna rais anayesaini ili mtu anyongwe maana wanaona kama ukatili flani hivi.
 
Duh! ninampenzi wangu mchaga mzuri sana na hatujawahi kukosana lakini hizi habari za wachaga kuua waume zao zinaniogopesha.Nitaanza kumfanyia vituko ili akasirike na nipate sababu ya kumfukuza.Mchaga ni hatari Kwa maisha ya mwanaume.Ndoa na mchaga Sasa basi fullstop.
Baadhi yao huwa wanakunja makucha yao hadi ujichanganye ufunge nao mkataba (ndoa) halafu ndio utajua hujui kuwa hukujua.

Niliwahi kuwa na girl friend mmoja mmachame siku moja nikamfuma anapiga stories na rafiki yake anamwambia "nitajifanya mpole nimbembeleze huyu mwanaume (akimaanisha mimi) hadi anioe kisha baada ya hapo atanijua mimi ni mpalestina OG. Nikaona isiwe taabu bora niwahi mapema kabla halijaja tokea la kutokea
 
Back
Top Bottom