๐๐๐๐๐ Basi ngojea tukimbieKaa mbali mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐ Basi ngojea tukimbieKaa mbali mkuu
umekuja kwa kishindosafi sana, mpaka mtie akili
KATAA NDOA
Nashauri anyongwe siku ambayo Arsenal atakua akicheza fainali ya champions league... Arsenal tukipiga kamba warushe updates huyu mchaga akiendelea kunyongwa,,, Arsenal tukivaa medali mnyongo uendelee kuonekana live... Tukionekana tukinyenyua kwapa tumuone huyu gold digger akikata roho... NI UNYAMA SANAAnyongwe pale kwa lupaso tukio lirushwe live BBC, CNN & Al Jazeera
Zungu alikuwa mariooo,grace anamlea
Dem alizama kwa jamaa
Jamaa mambo ya mterezo gandalf
La ndizi ilimponza
Ova
Mnasema tu ila wadada wengi wakichaga rate yao ya kuolewa tena kwa ndoa na tarumbeta ๐บ ipo juu kuliko unavyofikiri .
Mama yangu pia ni mmachame na ni mama bora, mpole na mchamungu kuwahi kutokea
Vuta mke wa kimachame kama unataka maokoto yazidi, Acha kulialia mkuu.Unafikri ni kwa nini?
Si janja janja tu na vingโangโanizi?!
Safi sana Mungu aendelea kumpa Abdallah pumziko lenye heri inshallah sote ni wa kufa siku mojaMahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba.
Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba tukio alilolitenda Julai 16, 2021 eneo la Mbezi Makabe Dar es salaam.
Ilivyokuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilithibitisha kumshikilia Grace Mushi maarufu mtaani kwao kwa jina la Neema kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake Hamis Abdallah โZunguโ ambaye alimmwagia Petroli akiwa ndani kisha kumchoma moto.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Mbezi Makabe kwa Mzungu.
"Muda wa saa 8:30 usiku Mtuhumiwa huyu alimfungia ndani ya nyumba Hamis akammwagia mafuta ya Petrol na baadaye akachoma moto kitu kilichosababisha Hamisi kufarikiโ
โHamis alikua ni Rafiki yake wa kiume (Boyfriend), Mtuhumiwa alijaribu kutoroka lakini Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wananchi tukamkamkata na uchunguzi umebaini kulikuwa na mgogoro mkubwa wa kimapenzi kabla kufanyika kwa tukio hili la Kikatili
Hapa zungu alijimixMahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba.
Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba tukio alilolitenda Julai 16, 2021 eneo la Mbezi Makabe Dar es salaam.
Ilivyokuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilithibitisha kumshikilia Grace Mushi maarufu mtaani kwao kwa jina la Neema kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake Hamis Abdallah โZunguโ ambaye alimmwagia Petroli akiwa ndani kisha kumchoma moto.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Mbezi Makabe kwa Mzungu.
"Muda wa saa 8:30 usiku Mtuhumiwa huyu alimfungia ndani ya nyumba Hamis akammwagia mafuta ya Petrol na baadaye akachoma moto kitu kilichosababisha Hamisi kufarikiโ
โHamis alikua ni Rafiki yake wa kiume (Boyfriend), Mtuhumiwa alijaribu kutoroka lakini Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wananchi tukamkamkata na uchunguzi umebaini kulikuwa na mgogoro mkubwa wa kimapenzi kabla kufanyika kwa tukio hili la Kikatili
Mkichokana achaneniMahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba.
Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba tukio alilolitenda Julai 16, 2021 eneo la Mbezi Makabe Dar es salaam.
Ilivyokuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilithibitisha kumshikilia Grace Mushi maarufu mtaani kwao kwa jina la Neema kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake Hamis Abdallah โZunguโ ambaye alimmwagia Petroli akiwa ndani kisha kumchoma moto.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Mbezi Makabe kwa Mzungu.
"Muda wa saa 8:30 usiku Mtuhumiwa huyu alimfungia ndani ya nyumba Hamis akammwagia mafuta ya Petrol na baadaye akachoma moto kitu kilichosababisha Hamisi kufarikiโ
โHamis alikua ni Rafiki yake wa kiume (Boyfriend), Mtuhumiwa alijaribu kutoroka lakini Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wananchi tukamkamkata na uchunguzi umebaini kulikuwa na mgogoro mkubwa wa kimapenzi kabla kufanyika kwa tukio hili la Kikatili
Kuongea ni rahisi, kutenda sasa!Mkichokana achaneni
Hiyo sio ndoa. Boyfriend na Girlfriendsafi sana, mpaka mtie akili
KATAA NDOA
Kwahiyo hukumu ya 'kunyongwa hadi kufa' huwa ni gelesha.Huyo ndiyo basi tena atakuja kutoka after 20 yrs kwa msamaha wa rais.
Kwahiyo hukumu ya 'kunyongwa hadi kufa' huwa ni gelesha.
Sasa si Bora waifute tu, iandikwe kifungo cha maisha.
Baadhi yao huwa wanakunja makucha yao hadi ujichanganye ufunge nao mkataba (ndoa) halafu ndio utajua hujui kuwa hukujua.Duh! ninampenzi wangu mchaga mzuri sana na hatujawahi kukosana lakini hizi habari za wachaga kuua waume zao zinaniogopesha.Nitaanza kumfanyia vituko ili akasirike na nipate sababu ya kumfukuza.Mchaga ni hatari Kwa maisha ya mwanaume.Ndoa na mchaga Sasa basi fullstop.