Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Akikasirika si ndio atapita na wewe.
 
Braza Mario kampeleka dada mzuri hasipostahili.
Nenda Gre but jua nitakusubiri mpaka urudi tutaendelea kuwa wote daima nitakutembelea na kukujulia hali .

Pole dada Gre ,jela sio mauti na sio kaburi utatoka ,leo hata kesho kikubwa mipango inaendelea.

Marehemu marioo umetuaibisha wanadasalam yaani unaenda kuneng'eneka kwa mtoto wa watu na vihela vyake huku ukijua kadudu kako hakajatulia ? Sifa zetu uwa ni kutafuta na kwenda ng'ambo kuhustle ,watoto wa kike sisi tunawahonga Ila yakizidi maisha kusaidiana Ila wewe umejiweka mazima kwa mpambanaji wa kike bila kujua hiko kidogo kakipatia wapi ,nenda marehemu marioo umetuaibisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…