Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba.

Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba tukio alilolitenda Julai 16, 2021 eneo la Mbezi Makabe Dar es salaam.

Ilivyokuwa...

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia Grace Mushi maarufu mtaani kwao kwa jina la Neema kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake Hamis Abdallah ‘Zungu’ ambaye alimmwagia Petroli akiwa ndani kisha kumchoma moto.

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Mbezi Makabe kwa Mzungu.

"Muda wa saa 8:30 usiku Mtuhumiwa huyu alimfungia ndani ya nyumba Hamis akammwagia mafuta ya Petrol na baadaye akachoma moto kitu kilichosababisha Hamisi kufariki”

“Hamis alikua ni Rafiki yake wa kiume (Boyfriend), Mtuhumiwa alijaribu kutoroka lakini Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wananchi tukamkamkata na uchunguzi umebaini kulikuwa na mgogoro mkubwa wa kimapenzi kabla kufanyika kwa tukio hili la Kikatili
Huu ukatili kwa kichocheo cha mapenzi.. Kuna binadamu hawasalitiwi
 
Wadada wa kichaga ni makatili sana tttt!?
Hivi ukatili wao husababishwa na nini!?
 
Khaaaa! Sasa mbona nyundo asubuhi hivi kabla hata watu hatujapiga mswaki?
 
Hii iwe fundisho kwa wote wanaojichukulia sheria mkononi
Hawa walishapigana chini lakini inavyoonekana jamaa alikuwa kwa dem kimslahi,ndomana hiyo siku dem akampigia jamaa sim na kumwambia waende wakapige vyombo jamaa kusikia hivyo faster akamkimbilia dem
Dem akampa vyombo jamaa hadi kusizi ndy badaye yakamkuta

Ova
 
Mshkaji alikua. Marioo, añafungwa na mtoto wa kike afu anaendekeza ukitombi kwa resources za demu, grace akasema mbulaa isiww shida, unapita hivi.
Alikuwa kimaslahi kwa dem huyo
Umario umemponza

Ova
 
Hii ndio tatizo la kuendekeza mapenzi na kujifanya unajua kupeeeeeeendaaaaa...Rubbish
 
Back
Top Bottom