Roadwalker01
New Member
- Feb 7, 2026
- 1
- 1
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Amri ya zuio hilo la upande mmoja (ex parte temporary prohibitory) limetolewa Jumatatu Mei 25, 2026 na Jaji Irvin Mugeta alipotoa uamuzi mdogo katika maombi ya kupatiwa kibali cha kufungua maombi ya kupata amri ya kukataza au zuio.
Maombi hayo namba 12812 ya 2026 yamefunguliwa na Katibu Mkuu wa Chadema pamoja na Bodi ya Wadhamini ya chama hicho dhidi ya Msajili, kutokana na barua ya Msajili aliyokiandikia chama hicho Mei 7, 2026 ikikitaka chama hicho kijieleze.
Moja kati ya sababu zilizotolewa na Mawakili ni kwamba kwenye barua hiyo inaonyesha Msajili yeye ndo mlalamikaji, yeye ndo shahidi na wakati huo huo yeye ndo Jaji kwa maana hii hawezi kutenda Haki.
.
Soma Pia;
This case was filed on 21/5/2026. For some reasons it could not be attended until today. The applicants' complaint is that the first respondent is about to suspend the registration of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Party or fine it unreasonably. Consequently, the applicants have knocked the doors of this court asking for leave to apply prohibitory and declaratory orders. The application is made under rules 4, 5 (5), 7 (1) and 8 (1) (a) (5) of the Law Reform (Fatal Accidents and Miscellaneous Provisions (Judicial Review and Fees) Rules, 2014, G.N No. 324 of 2014; Section 17 (2), (4) and Section 20 (3) of the Law Reform (Fatal
1 Mugeta
Je Nini maoni yako!?? Ushawahi kujiuliza why shauri hilo limefunguliwa BABATI na sio DSM!??

- Wakili Maduhu: Msajili sio mamlaka ya udhibiti, amejipa mamlaka ambayo siyo ya kwake
- Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza