Mahakama Kuu yamzuia kwa muda Msajili wa Vyama kuisimamisha au kuitoza faini CHADEMA

Huyu msajili sidhani kama anatumia akili zake, atakuwa anatumia akili za Lucas na Mary Chatanda.
Bila shaka huyu "Luka" unamaanisha yule mpiga zumari na propaganda uchwara wa Abdul na mama yake Samia muuaji Lucas mwasha
mtatapatapa kadiri muwezavyo,
lakini msumeno wa sheria kwa mkiuka sheria upo palepale gentleman :pedroP:

feel free to call me any name as you wish, but sheria lazima ifuate mkondo wake na hatua lazima kuchukuliwa dhidi ya vyama vya siasa vinavyokiuka sheria za nchi
Mr "Gentleman" bado unapiga propaganda za mwaka 1947 za kijinga na kishamba..

Wana wa kizazi cha Gen-Z, kizazi cha 5G hawahitaji ujinga wako na ule wa wenzio huko Kambi ya Waamaleki, Wafilisti, Washami, Wana wa Anaki wala nyama za watu na wauaji..

GenZ wanahitaji hoja zilizojengwa ktk mantiki zikijibu maswali ya: HOW? WHERE? WHEN? WHO? and WHY..?

Sio hoja za ooh tumejenga SGR au Flyovers. Au oooh tumeleta maendeleo 1, 2 au 3 and all kind of stupid stuffs...

Just look at yourself...

Eti adhabu iko palepale. Tunakuuliza: hiyo pale pale ni wapi kwani? Kwenye kinyeo chako? How and why...?

Don't be foolish and stupid at the sametime...!!
 
Hili litakuwa tukio la kwanza mwaka huu mahakama kuchukua hatua za haraka, kuzuia alichotaka kufanya msajili.
 
CHADEMA haifi Leo Wala Kesho,wote waliojaribu kuifuta CHADEMA wamekufa.Magufuli,ndugai.walie tuu, CDM ni mpango wa Mungu.
 
Huyo sio msajili wa vyama vya siasa ni msajli wa CCM.

Mary Chatanda wakati juzi anaongelea kuwapoteza CHADEMA hatujasikia chochote akimuongelea kada mwenzie.
 
Bila shaka huyu "Luka" unamaanisha yule mpiga zumari na propaganda uchwara wa Abdul na mama yake Samia muuaji Lucas mwasha

Mr "Gentleman" bado unapiga propaganda za mwaka 1947 za kijinga na kishamba..

Wana wa kizazi cha Gen-Z, kizazi cha 5G hawahitaji ujinga wako na ule wa wenzio huko Kambi ya Waamaleki, Wafilisti, Washami, Wana wa Anaki wala nyama za watu na wauaji..

GenZ wanahitaji hoja zilizojengwa ktk mantiki zikijibu maswali ya: HOW? WHERE? WHEN? WHO? and WHY..?

Sio hoja za ooh tumejenga SGR au Flyovers. Au oooh tumeleta maendeleo 1, 2 au 3 and all kind of stupid stuffs...

Just look at yourself...

Eti adhabu iko palepale. Tunakuuliza: hiyo pale pale ni wapi kwani? Kwenye kinyeo chako? How and why...?

Don't be foolish and stupid at the sametime...!!
hujashatakiwa na unakimbilia mahakamani, kweli mko sawa mentally gentleman? :pedroP:
 
Sheria??
Mbona sikuona unakemea wala kukosoa yale mauaji ya MO29, au mauaji siyo uvunjaji wa sheria
hizo porojo za nini tena huku gentleman?
unalenga kupindisha mjadala au kuharibu mjadala?

si ungeandika uzi mahususi kuhusu hizo porojo zako na itaendeza sana gentleman? :pulpTRAVOLTA:
 
Bila shaka huyu "Luka" unamaanisha yule mpiga zumari na propaganda uchwara wa Abdul na mama yake Samia muuaji Lucas mwasha

Mr "Gentleman" bado unapiga propaganda za mwaka 1947 za kijinga na kishamba..

Wana wa kizazi cha Gen-Z, kizazi cha 5G hawahitaji ujinga wako na ule wa wenzio huko Kambi ya Waamaleki, Wafilisti, Washami, Wana wa Anaki wala nyama za watu na wauaji..

GenZ wanahitaji hoja zilizojengwa ktk mantiki zikijibu maswali ya: HOW? WHERE? WHEN? WHO? and WHY..?

Sio hoja za ooh tumejenga SGR au Flyovers. Au oooh tumeleta maendeleo 1, 2 au 3 and all kind of stupid stuffs...

Just look at yourself...

Eti adhabu iko palepale. Tunakuuliza: hiyo pale pale ni wapi kwani? Kwenye kinyeo chako? How and why...?

Don't be foolish and stupid at the sametime...!!
Huyo huyo mkuu
 
Vyombo vya ndani ya mfumo ndivyo vinavyohusika kuhujumu CCM wawe macho hali ji mbaya ndani na nje ya nchi.
 
Nafikiri màamuzi haya ya Mahakama.yana mguso wa Muswaada wa akina Ted Cruz.
 
Hili litakuwa tukio la kwanza mwaka huu mahakama kuchukua hatua za haraka, kuzuia alichotaka kufanya msajili.
Siyo bure muswada wa Ted Cruz unahusika hapa wanaanza kujirudi. Hata jana Bimsumi wakati anawaaposh Majaji Rufaa alikuwa anarudia rudi neno haki wakati awali hilo neno lilikuwa taboo kutamkwa na mwanaccm. Tunywe mtori nyama tutazikuta chini.
 
Hili walipaswa kulifanya mapema, wamesubiri mambo yameharibika... Sasa moto umewaka tena.
 
Back
Top Bottom