Bila shaka huyu "Luka" unamaanisha yule mpiga zumari na propaganda uchwara wa Abdul na mama yake Samia muuaji Lucas mwashaHuyu msajili sidhani kama anatumia akili zake, atakuwa anatumia akili za Lucas na Mary Chatanda.
Mr "Gentleman" bado unapiga propaganda za mwaka 1947 za kijinga na kishamba..mtatapatapa kadiri muwezavyo,
lakini msumeno wa sheria kwa mkiuka sheria upo palepale gentleman
feel free to call me any name as you wish, but sheria lazima ifuate mkondo wake na hatua lazima kuchukuliwa dhidi ya vyama vya siasa vinavyokiuka sheria za nchi
CHADEMA haifi Leo Wala Kesho,wote waliojaribu kuifuta CHADEMA wamekufa.Magufuli,ndugai.walie tuu, CDM ni mpango wa Mungu.mtatapatapa kadiri muwezavyo,
lakini msumeno wa sheria kwa mkiuka sheria upo palepale gentleman
feel free to call me any name as you wish, but sheria lazima ifuate mkondo wake na hatua lazima kuchukuliwa dhidi ya vyama vya siasa vinavyokiuka sheria za nchi
kulikoni roho ya mauti na kifo imewaandama hivyo gentleman?CHADEMA haifi Leo Wala Kesho,wote waliojaribu kuifuta CHADEMA wamekufa.Magufuli,ndugai.walie tuu, CDM ni mpango wa Mungu.

hujashatakiwa na unakimbilia mahakamani, kweli mko sawa mentally gentleman?Bila shaka huyu "Luka" unamaanisha yule mpiga zumari na propaganda uchwara wa Abdul na mama yake Samia muuaji Lucas mwasha
Mr "Gentleman" bado unapiga propaganda za mwaka 1947 za kijinga na kishamba..
Wana wa kizazi cha Gen-Z, kizazi cha 5G hawahitaji ujinga wako na ule wa wenzio huko Kambi ya Waamaleki, Wafilisti, Washami, Wana wa Anaki wala nyama za watu na wauaji..
GenZ wanahitaji hoja zilizojengwa ktk mantiki zikijibu maswali ya: HOW? WHERE? WHEN? WHO? and WHY..?
Sio hoja za ooh tumejenga SGR au Flyovers. Au oooh tumeleta maendeleo 1, 2 au 3 and all kind of stupid stuffs...
Just look at yourself...
Eti adhabu iko palepale. Tunakuuliza: hiyo pale pale ni wapi kwani? Kwenye kinyeo chako? How and why...?
Don't be foolish and stupid at the sametime...!!

relax bas gentleman,Tumeshitakiwa kwenye mahakama ipi, kama hujui mwenendo wa mahakama kaa chini.

wapi huko kwa mfano?Nani kashitaki.

hizo porojo za nini tena huku gentleman?Sheria??
Mbona sikuona unakemea wala kukosoa yale mauaji ya MO29, au mauaji siyo uvunjaji wa sheria

Huyo huyo mkuuBila shaka huyu "Luka" unamaanisha yule mpiga zumari na propaganda uchwara wa Abdul na mama yake Samia muuaji Lucas mwasha
Mr "Gentleman" bado unapiga propaganda za mwaka 1947 za kijinga na kishamba..
Wana wa kizazi cha Gen-Z, kizazi cha 5G hawahitaji ujinga wako na ule wa wenzio huko Kambi ya Waamaleki, Wafilisti, Washami, Wana wa Anaki wala nyama za watu na wauaji..
GenZ wanahitaji hoja zilizojengwa ktk mantiki zikijibu maswali ya: HOW? WHERE? WHEN? WHO? and WHY..?
Sio hoja za ooh tumejenga SGR au Flyovers. Au oooh tumeleta maendeleo 1, 2 au 3 and all kind of stupid stuffs...
Just look at yourself...
Eti adhabu iko palepale. Tunakuuliza: hiyo pale pale ni wapi kwani? Kwenye kinyeo chako? How and why...?
Don't be foolish and stupid at the sametime...!!
Siyo bure muswada wa Ted Cruz unahusika hapa wanaanza kujirudi. Hata jana Bimsumi wakati anawaaposh Majaji Rufaa alikuwa anarudia rudi neno haki wakati awali hilo neno lilikuwa taboo kutamkwa na mwanaccm. Tunywe mtori nyama tutazikuta chini.Hili litakuwa tukio la kwanza mwaka huu mahakama kuchukua hatua za haraka, kuzuia alichotaka kufanya msajili.
Hili walipaswa kulifanya mapema, wamesubiri mambo yameharibika... Sasa moto umewaka tena.Siyo bure muswada wa Ted Cruz unahusika hapa wanaanza kujirudi. Hata jana Bimsumi wakati anawaaposh Majaji Rufaa alikuwa anarudia rudi neno haki wakati awali hilo neno lilikuwa taboo kutamkwa na mwanaccm. Tunywe mtori nyama tutazikuta chini.