Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huo ni ushindi kwa Dada,nawapenda haki woteHii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .
Taarifa inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki
View attachment 1825533
Na utasikia mpuuzi mmoja akidemka huku kabinua makalio eti Hayati alikuwa mcha Mungu mtu wa haki
Matunda ya uhuru,haki na maendeleo,na operation mwenza operation haki.Naona sikuhizi mahakama inanyoosha mikono kila kukicha, uonevu ulikuwa mkubwa sana.
Ila kuna huyu, Kigogo2014 na Maria Sarungi ni moto wa gesi unaochoma mioyo ya Mataga.
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .
Taarifa inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki
View attachment 1825533
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani...
Ili kuendana na upepo huu mpya ni dhahiri sasa Jaji Mkuu na Mwanasheria Mkuu waondolewe , tusimung'unye maneno , hawa walishiriki kila uchafu .Naona sikuhizi mahakama inanyoosha mikono kila kukicha, uonevu ulikuwa mkubwa sana.
Ila kuna huyu, Kigogo2014 na Maria Sarungi ni moto wa gesi unaochoma mioyo ya Mataga.
Katiba Mpya iko njiani. Mwanga mweupeee peeeHii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani...
Halafu bado watu humu wanamtetea dikteta etiHAYATI NA GENGE LAKE WALIKUWA NI MASHETANI KABISA.
Mimi na Jiwe ni Kitu kimoja😀😀😀Na utasikia mpuuzi mmoja akidemka huku kabinua makalio eti Hayati alikuwa mcha Mungu mtu wa haki