Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki , Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533
Bora utawala wa shetani haupo tena
 
Waswahili walisema pia "Funga bakuli, mwanaharamu apite".

Mama alijua maana ya methali hii, ndiyo maana muda wote akawa kafunga bakuli, sasa mwanaharamu kapita, tumejua mbivu mbichi kuhusu amesimamia wapi.
Majaliwa naona anapiga kimyakimya tu. Hajulikani anacheza muziki upi kati ya wa mama au mwendazake...

Lakini hivi sasa namwona kaanza kuvaa barakoa...

Mambo yanaenda kwa kasi sana....
 
Kwa ajili ya kulinda heshima ya Mahakama ni bora Rais SSH ambadilishie Jaji Feleshi majukumu atuletee Jaji atakayefanya kazi kwa haki bila uwoga.

Tatizo mchakato wa kumuondoa Jaji ofisini ni mrefu sana, ila maamuzi ya leo tayari yamepeleka ujumbe muhimu kuwa majaji wategemee kutoa maamuzi kwa kufuata sheria na katiba siyo shindikizo la kisiasa ili ubaki kuonekana umetenda haki kwa mujibu wa sheria na siyo kuburuzwa na mtu anayakaa ktk ofisi ya juu akiwa "mpangaji wa muda".
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki , Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533
Wazee wa legacy sioni kabisa comments zao 🤣🤣
 
Bila Corona kumfyekelea mbali dhalimu tungekuwa na Taifa la kipumbavu sana mbeleni huko.
Kwani mnavyolazimisha kuwa kafa kwa corona ndio ili iweje? corona imemuondoa Maalim seif wa Zanzibar hilo halina utata ila ajabu mnalazimisha mtu mwengine kifo chake kiwe cha corona.
 
Corona imeturejeshea Uhuru ulioporwa na dikteta mwenda zake. Mungu hutumia njia yeyote kuwaokoa watu wake pindi vilio vya watu vinapo mfikia.
Tatizo huyo mungu huwa hasikii vilio dhidi ya ccm kuendelea kukaa madarakani kimabavu miaka yote hii.
 
Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki , Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?
Yeye alikuwa anatumikishwa hakuwa yeye na kila mtu alijua mwisho wa siku haya yatatokea
 
Back
Top Bottom