Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Maalim seif kafa na corona ila watu hawalizungumzii hili wao wanafosi kifo cha Mwendazake kiwe cha corona,sasa sijui ili iweje?
 
Waswahili walisema, mbio za sakafuni, huishia ukingoni.

Sasa kwa hili wimbi la mambo kubatilishwa mara tu baada ya bwana fulani kujifia zake, tushajua ukingo ulikuwa wapi.
mkituliza akili sawa sawa,mtajua kwamba kuna watu wanaowaona nyinyi ni wajinga.
 
Lile kitu life mara 1000 huko kuzimu. Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki Rais wetu SSH mpe miaka mingi atuongoze mpaka nchi na demokrasia inyooke. Hongera sana Wakili msomi Fatuma Karume.
ulisema unakaribia kutoa avatar ya bimkubwa maana kachagua madc wasiofaa.
 
Na mambo haya yanatokea kwa kasi sana. Yaelekea mama alikuwa amechefukwa lakini hakuwa na la kufanya. Mungu kamfanyia wepesi
ngoja tuone huyu bibi ataendelea na harakati zake!!!

ni rahisi sana kushughulika na mtu aliyekata tamaa.
 
kwa upande mwingine imekula mpaka baba zenu wazazi.
Baba zetu wamekufa kwa mapenzi ya Mungu hawakuwa wabishi kufuata masharti na hawakuwa na kiburi na jeuri kama mwendazake.
 
Kuna wakati huwa natafakari, sipati jibu kuhusu marehemu. Najiuliza:

1) Alikuwa ni mtu ambaye kwa asili yake alikuwa ni mtu tu wa roho mbaya?

2) Alikuwa ni mtu wa kawaida lakini baadaye shetani akaingia ndani yake, na hivyo alikuwa ni shetani katika umbile la mwanadamu?

3) Au alikuwa ni mtu wa kawaida, lakini alikuwa na tatizo la afya ya akili kiasi cha muda mwingine kuwa wa kawaida, na muda mwingine akili kukengeuka?

Maana kuna uovu mwingine aliowafanyia watu, unazidi hata ule wa watu katili.

Kwa kweli marehemu alikuwa katili na roho ya ajabu:

Kufilisi watu
Kuteka watu
Kuua watu
Kubambikia watu kesi
Kupora pesa za watu

Yaani alitaka usipomwabudu, basi ukose na fursa nyingine zote za maisha ya hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom