Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Sasa hivi Mihimili mingine imeanza kujiinua tena kutokea mavumbini. Ni muda sahihi sasa kurudi Mahakamani kufungua shauri la kupinga Halmashauri chini ya uongozi wa DEDs kusimamia chaguzi zote

Sisi Nchi tajiri sana hatushindwi kuweka key staff wa NEC Nchi nzima.
Bunge lilifunga rasmi uwezo wa mtu yoyote kufungua kesi ya kikatiba mahakamani kwa marekebisho kwenye the Basic Rights and Duties Enforcement Act kuzuia mtu kufungua shauri bila kuwa na kiapo cha yeye kuathirika personally na kifungu husika anachodai kimevunjwa.

Kabudi huyu Mungu amlaani huko aliko.
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki , Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533
Naona court supremacy imerejea kwa kasi ya 6G+😃😃
 
Umasikini mbaya kwa kweli,nampenda shangazi nimuoe tu yani.
 
Baba zetu wamekufa kwa mapenzi ya Mungu hawakuwa wabishi kufuata masharti na hawakuwa na kiburi na jeuri kama mwendazake.
tukisema mnashida vichwani mnajaa upepo.

mapenzi ya Mungu unayajua,au unachagua tu yapi yawe mapenzi yake yapi uyaite ya binaadam!!!
 
Kuna wakati huwa natafakari, sipati jibu kuhusu marehemu. Najiuliza:

1) Alikuwa ni mtu ambaye kwa asili yake alikuwa ni mtu tu wa roho mbaya?

2) Alikuwa ni mtu wa kawaida lakini baadaye shetani akaingia ndani yake, na hivyo alikuwa ni shetani katika umbile la mwanadamu?

3) Au alikuwa ni mtu wa kawaida, lakini alikuwa na tatizo la afya ya akili kiasi cha muda mwingine kuwa wa kawaida, na muda mwingine akili kukengeuka?

Maana kuna uovu mwingine aliowafanyia watu, unazidi hata ule wa watu katili.

Kwa kweli marehemu alikuwa katili na roho ya ajabu:

Kufilisi watu
Kuteka watu
Kuua watu
Kubambikia watu kesi
Kupora pesa za watu

Yaani alitaka usipomwabudu, basi ukose na fursa nyingine zote za maisha ya hapa Duniani.
Alimfukuzaga kazi welle malecela akajua kammaliza, kusikia kachaguliwa UN alikasirika sana, aliamin yeye ndo mgawa rizki
 
Back
Top Bottom