Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yatupilia mbali pingamizi la kina Freeman Mbowe na wenzake, kesi sasa kuendelea-MCL
Mawakili 14 wote kazi bure. Ingekua sera ya ccm ni uliberali mbowe kwa hila angechomoa eti kwa kukosewa kufungua mashtaka huku shutuma bado ipo palepale. Watz tukatae uliberali wa chadema wenye lengo la kuwadhulumu haki wanyonge.
 
Kwa jinsi tu ulivyoandika, unaonekana una hasira na kwenye hasira huwa hakuna akili (akili hukimbia).
 
Unapofungua shtaka lazima kuwe na 'sufficient clarity' kwenye charge sheet, otherwise shtaka 'may swing this or that way' na ni jukumu la 'aggrieved party' kusema au kuonyesha hivyo toka mwanzo. Yaani shtaka linatakiwa liwe sahihi, liendeshwe kiusahihi na limalizike kiusahihi.
 
Mawakili 14 wote kazi bure. Ingekua sera ya ccm ni uliberali mbowe kwa hila angechomoa eti kwa kukosewa kufungua mashtaka huku shutuma bado ipo palepale. Watz tukatae uliberali wa chadema wenye lengo la kuwadhulumu haki wanyonge.
Pambaf
 
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yatupilia mbali pingamizi la kina Freeman Mbowe na wenzake, kesi sasa kuendelea-MCL
Tukitegemea hilo. Huyu jaji hufanya kazi kwa maelekezo. Haja wahi kufuata sheria. Hebu fikiria, jaji anakubali mashtaka yana makosa. Halafu ana waagiza waka andike mashtaka upya. Tujiulize ana interest gani na hii kesi?
 
Baada ya "aggrieved party" kuonyesha mapungufu ya charge sheet, ni nani mwenye jukumu la kurekebisha mapungufu hayo? Huyo mwenye hilo jukumu anasubiri hadi mahakama imueleze akafanye marekebisho? Hawezi yeye kuiomba mahakama kufanya marekebisho hayo baada ya kuelezwa makosa na kujua kweli ni makosa?
 
Kwa jinsi tu ulivyoandika, unaonekana una hasira na kwenye hasira huwa hakuna akili (akili hukimbia).
Nisome taratibu, utanielewa mkuu. Labda aina ya uwekaji hoja zangu ni wa namna inayoonesha kuwa nina hasira. Niko vizuri kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…