Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

Ndio maana tundu lisu anawadharau aiseee leo ndio nimegundua
 
Watuombe msamaha kwanza wale waliosema JPM yuko mzima na yuko ikulu anachapa kazi.
 
hivi mawakili wa mbowe kwanini wasiachie kesi iendelee ? hivi kuichelewesha kwa mapingamizi siyo kumuumiza mtuhumiwa kweli? mawqzo yangu tu sijui sheria
Afadhali umesema hujui sheria,kwa hiyo acha wanaoijua sheria waendelee kufuata taratibu zote mpaka kieleweke
 
Unamzungumzia yule muuaji aliyedhani ana uwezo wa kuua watu wasio na hatia na asijue kuwa yeye korona itamwondoa?
 
Reactions: BAK
Kwa kua kesi ni ya kupikwa basi mbowe na team yake wanapaswa kutumia akili na kwenye hilo tayari wamesha onyesha mwanga mzuri leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…