Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Sasa kwa nini hakufungua madai Tza bara!
Anajua anachofikilia au kutarajia kisinge wezekana.. Sasa twende upande wa Mdaiwa:Hato lipa hizo pesa aidha anazo au hana..
Itaangaliwa wakati kesi imefunguliwa hadi hukumu kama mdaiwa ushiliki wake ulikuaje ili Tza bara waipokee hukumu/Ikitokea imepokelewa Mdaiwa ikamlazimu kulipa ana hiyari kubwa ya mazungumzo alipe vipi.

-Tukumbuke uwezo wa malipo ni kwa mdaiwa hata atalipa Tsh 250 kila mwezi sawa tuu huo ndio uwezo wake!
Vinginevyo watalaam wa miamala ya kisheria wakae chini...

History ya madai dizaini hii ni kuisumbua mahakama tuu.. Hakuna malipo hapo, Keep your eyes open...
Ikitokea mdaiwa kaenda jela, mdaiwa itabidi amuhudumie kipindi chote yupo jela! Up to her..
 
Mbona huyo Wakili Fatma Karume kaandika kishambenga sana, halafu kaniboa kumhusisha Jiwe Magufuli kwenye hilo bandiko lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…