Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ni msiba kweri kweriNa Erick Kabendera naye yupo njiani kumfungulia kesi, msibaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni msiba kweri kweriNa Erick Kabendera naye yupo njiani kumfungulia kesi, msibaa!!!
Hivi kwenye muungano suala hili limekaaje? Mtu wa bara unaweza kunyooshwa na mahakama ya visiwani kumbe? Kwahiyo, nikimzingua Mzanzibar, anaenda kunishitaki kule kwao nanyooshwa huko. Sasa tutafute wengine kama huyo jamaa wakanyooshwe huko maana hapa bara ni kama wanafumbiwa macho.Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi;
Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu.
Sasa anatafute 7.5 billion za kunilipa!. Namshukuru sana Advocate Wangu!.
Billion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.
Watu wa karibu wa Musiba mnaweza kumpa hizi habari maana ni kitambo hatujamuona huko Twitter republican huyo aliyekuwa "Mwanaharakati huru" wa kumtetea hayati Magufuli.
CCM watamlipia hiyo faini kwani ndiyo walikuwa wanamtuma kutukana watuKupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi;
Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu.
Sasa anatafute 7.5 billion za kunilipa!. Namshukuru sana Advocate Wangu!.
Billion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.
Watu wa karibu wa Musiba mnaweza kumpa hizi habari maana ni kitambo hatujamuona huko Twitter republican huyo aliyekuwa "Mwanaharakati huru" wa kumtetea hayati Magufuli.
Alisema anachokonolewaTusiofahamu mtuambie Musiba aliandikaje kumchafua huyo wakili
Hiyo ni Mahakama kuu ya Tanzania...iko moja nchi nzima bara na visiwani ila ina divisheni na registry nchini kote. Hivyo Mahakama kuu inayoketi Zanzibar ina hadhi sawa na Mahakama kuu inayoketi Bara.Hivi kwenye muungano suala hili limekaaje? Mtu wa bara unaweza kunyooshwa na mahakama ya visiwani kumbe? Kwahiyo, nikimzingua Mzanzibar, anaenda kunishitaki kule kwao nanyooshwa huko. Sasa tutafute wengine kama huyo jamaa wakanyooshwe huko maana hapa bara ni kama wanafumbiwa macho.
Tupeane taarifa kamili, mi ntaanzia pale ulipoishiaNi mgumu; hapatikani kirahisi. Mimi mjomba nilishindwa itakuwa wewe?
Bado membe nae huku bara msiba ana msiba mbonaHuku karume kule wafanyakazi Wana miezi 6 awajalipwa mishahara boss kafa
Kwani kuna passport ta Zanzibar inayojulikana duniani au kuna nchi ya Zanzibar inayojulikana duniani ukijiuliza hayo maswali mchezo kwisha ndio maana masheikh wa uhamsho walishitakiwa bara na kufungwa baraHiyo hukumu hopeless
Imeamriwa na mahakamu kuu ya Nchi huru ya Zanzibar
Kwa mujibu wa katiba yao Zanzibar Ni nchi kamili
Hiyo kesi walitakiwa Wapeleke mahakama ya kimataifa sababu wao Ni nchi kamili na Musiba sio raia wao na kosa hakulifanya akiwa Zanzibar sababu sio raia na hana mpango wa kuomba uraia Wala kwenda Zanzibar iwe kuoa mtoto au mjukuu wa karume au kutalii
Humuwezi mzee; ana malingo kweli!Tupeane taarifa kamili, mi ntaanzia pale ulipoishia
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Nimekupata Sana Ni wachache watakuelewa
Hebu tulia wewe Layman. Mambo haya yamekuzidi uwezo! Kilangila.Hiyo hukumu hopeless
Imeamriwa na mahakamu kuu ya Nchi huru ya Zanzibar
Kwa mujibu wa katiba yao Zanzibar Ni nchi kamili
Hiyo kesi walitakiwa Wapeleke mahakama ya kimataifa sababu wao Ni nchi kamili na Musiba sio raia wao na kosa hakulifanya akiwa Zanzibar sababu sio raia na hana mpango wa kuomba uraia Wala kwenda Zanzibar iwe kuoa mtoto au mjukuu wa karume au kutalii
Fundisho kubwa maishani...asiyesikia basintena kweli alaaniwe amtegemeaye binadamu.....MATAGA pitisheni bakuli kwenye magroupe yenu ya wasap 😄😄😄😄😄
Hebu tulia wewe Layman. Mambo haya yamekuzidi uwezo! Kilangila.Hiyo hukumu hopeless
Imeamriwa na mahakamu kuu ya Nchi huru ya Zanzibar
Kwa mujibu wa katiba yao Zanzibar Ni nchi kamili
Hiyo kesi walitakiwa Wapeleke mahakama ya kimataifa sababu wao Ni nchi kamili na Musiba sio raia wao na kosa hakulifanya akiwa Zanzibar sababu sio raia na hana mpango wa kuomba uraia Wala kwenda Zanzibar iwe kuoa mtoto au mjukuu wa karume au kutalii
Zero brain. Kilangila.Hiyo kesi hatakiwi hata kuhangaika nayo Musiba atulie tu
Ni sawa tu na kuandikwa vibaya na gazeti la the Economist la Nchi ya marekani halafu unaenda mahakama ya kisutu kudai mumiliki akulipe fidia aliyeko Nchi ya Marekani wakati sio raia wa Nchi yako.Mahakama Local uwezo huo hawana .Ndio maana serikali iliishia tu kusema marufuku Hilo gazeti kukanyaga Nchi yetu
Hiyo kesi ya Musiba mahakama ya kuu ya Nchi huru ya Zanzibar kufuatana na katiba yao hawana ubavu huo.
Fatma Karume apeleke hiyo kesi mahakama ya kimataifa sio Vuga Zanzibar!!!
Nafahamu Fatma Kiswahili huwa hajui kuongea, na kuandika pia kumbe hawezi. Mambo ya ajabu sana, wakili wa Waswahili hajui Kiswahili.Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu
Itasajiliwa na kuwa enforced ndugu...Zanzibar ni Tanzania...na hii pia yaweza kuwa ni test case precedent kama bara wanatambua hukumu za huko... Jibu ni rahisi tu - ndio... mfano uko kwa wale masheik wa uamsho walioshitakiwa Zanzibar na kuhamishiwa bara... sasa msiba ajipange, either appeal hiyo hukumu au vinginevyo amwangukie Fatma kwa style ya msigwa na kinana- hiyo ndio pona yake.Keep my words
.
Hamna kitu hapo. Hiyo hukumu ili iwe na meno dawa ivuke bahari na isomwe Bara..
Lkn kumbuka Zanzibar ni nchi.Katiba yake inajifunga yenyewe..Itasajiliwa na kuwa enforced ndugu...Zanzibar ni Tanzania...na hii pia yaweza kuwa ni test case precedent kama bara wanatambua hukumu za huko... Jibu ni rahisi tu - ndio... mfano uko kwa wale masheik wa uamsho walioshitakiwa Zanzibar na kuhamishiwa bara... sasa msiba ajipange, either appeal hiyo hukumu au vinginevyo amwangukie Fatma kwa style ya msigwa na kinana- hiyo ndio pona yake.
Wa uamsho kesi yao ilihamishiwa Nara sababu ugaidi Ni kesi ya kimataifa na kimataifa inayotambuliwa Ni jamhuri ya muungano wa Tanzania Sio Zanzibar.Mahakama za muungano ndizo zenye ubavu huo ndio wakaletwa Tanzania baraItasajiliwa na kuwa enforced ndugu...Zanzibar ni Tanzania...na hii pia yaweza kuwa ni test case precedent kama bara wanatambua hukumu za huko... Jibu ni rahisi tu - ndio... mfano uko kwa wale masheik wa uamsho walioshitakiwa Zanzibar na kuhamishiwa bara... sasa msiba ajipange, either appeal hiyo hukumu au vinginevyo amwangukie Fatma kwa style ya msigwa na kinana- hiyo ndio pona yake.
Kwani Masheikh wa Zanzibar kesi yao ilikuwa Mahakama za wapi?Hivi kwenye muungano suala hili limekaaje? Mtu wa bara unaweza kunyooshwa na mahakama ya visiwani kumbe? Kwahiyo, nikimzingua Mzanzibar, anaenda kunishitaki kule kwao nanyooshwa huko. Sasa tutafute wengine kama huyo jamaa wakanyooshwe huko maana hapa bara ni kama wanafumbiwa macho.