mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Habibu mchange?[emoji1787][emoji1787].maana sasa ameanza kuwakumbuka wazee wake, safari kawe kwa babake mkubwa hazi katikiLabda aione ustaadh Habib!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habibu mchange?[emoji1787][emoji1787].maana sasa ameanza kuwakumbuka wazee wake, safari kawe kwa babake mkubwa hazi katikiLabda aione ustaadh Habib!
Nasikia gwajifix kamuhakikishia musiba, kua iwe iwavyo sipomsa atafufukaaaBillion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.
Duh! Kumbe shangazi yuko single, naomba namba zake aiseeSi waowane tu..[emoji1787]
Kila asubuhi anaamkia forodhani na makapu, kumnunulia ngisi bi fatmaAkishindwa kulipa itakuwaje?
Au itamfanya awe house boy wako miaka yake yote ya uhai??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa maana nyingine Musiba anatakiwa amuombe Messi amwachie Mshahara wake wa wiki sita.
Tuoneee mauno ya bureeekuna mwenye ile clip yake anadance atuwekee tuburudike
Kama uko mbali na vifungu vya sheria kaa pembeni..Kwani umeambiwa haivuki?
No suala la mchakato tu
Wanasheria niliwahi kuwasikia wakisema jurisdiction inapatikana kwa kuangalia kosa limefanyikia wapi, haiangalii mkosa ni raia wa wapi. Kama ndio hivyo kweli tuangalie cenario ilikuwa vipi.Ndio google soma katiba yao current ya mwanzo ilisomeka Zanzibar Ni sehemu ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania kuwa Ni kama mkoa wakaleta ujuaji wakajuandikia katiba yao current inayotamka kuwa Zanzibar Ni nchi kamili
Imekula kwao hii kesi ya Musiba waipeleke mahakama ya kimataifa. Zanzibar Ni nchi . Mahakama yao haina mamlaka ya kutoa hukumu kwa raia asiye raia wa Nchi yao.Asiye nchini kwao waende mahakama ya kimataifa . Musiba relax It is not a big deal.Wanzabari kwenye hii kesi mtatukoma watu wa bara.Nyie Ni Nchi kwa mujibu wa katiba yenu .Musiba sio raia wa Nchi yenu maruhuni nyie

🙂 🙂 😂Duh! Kumbe shangazi yuko single, naomba namba zake aisee
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Hadi deni la bilioni saba liishe unafikiri leo?Kila asubuhi anaamkia forodhani na makapu, kumnunulia ngisi bi fatma
Ni mgumu; hapatikani kirahisi. Mimi mjomba nilishindwa itakuwa wewe?Duh! Kumbe shangazi yuko single, naomba namba zake aisee
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Jidanganye eti deni halifungi mtu!!!mtu akikuamulia unakaa jela hata miaka 10!!wewe kaa ukijidanganya hivyo na misemo ya kijiweni hiyoDeni alifungi mtu ataahid kulipa kidogo kidogo labda kwa mwezi buku
Kama hana kitu akimuamulia ili kumkomesha anaweza akamtia adabu kwa kumuweka jela kwa gharama zake!!!hata mwaka mmoja tu, ajifunze.Musiba amlipe tuu
Kwani si kidogokidogo hadi deni liishe😎😎
Maana Hata wakiuza mali zake hana hiyo pesa
Na Erick Kabendera naye yupo njiani kumfungulia kesi, msibaa!!!Ile ni faini sio deni😅
Na Erick Kabendera naye yupo njiani kumfungulia kesi, msibaa!!!Ile ni faini sio deni😅