sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Yasemekana msiba alipewa kazi yaani kandarasi ya kuwasemea ovyo wabaya wa Kaisari.Bado kesi ya Membe. Hivi ule ushujaa alikuwa anautoa wapi?.
Yawezekana pia pesa haikuwa nyingi sana kwani alikuwa kama analambishwa asali tu na middle men.
Pia kuna uwezekano hakuwa main contractor labda alikuwa subcontractor wa subcontractor wa subcontractor n.k
Atakuwa na bahati kama atasaidiwa na SSH,japo ni ngumu sana kwani aliowatukana na kuwakashfu ndio hao sasa wanangala katika awamu ya sita.
Atatoboa tu kwenye appeal ikidhibitishwa kuwa alikuwa na file Mirembe Hospital Dodoma.