Mahakama zetu zinajaa ukiritimba ambao unachukuwa muda kuisha. Kuna ucheleweshaji mkubwa wa kesi za muhimu kitaifa kuanzia kesi za kisiasa, kesi za kodi, kesi za ufisadi ni mahakama ndiyo inachewesha maamuzi na kurudisha taifa nyuma.
Kuna kesi nyingi sana zinapelekwa na takuturu za rushwa lakini mfumo wa mahakama sio tu hautoi adhabu za kisheria kwa wakati bali zina mlolongo mrefu na usio wa lazima. Hakuna sababu yeyote kesi ambazo tajari zina ushahidi kuchukuwa mwaka mzima au zaidi.
Niliona hata kesi ya dada mmoja anajiita mfalme kule mwanza ilichukuwa mwaka mzima yaani mpaka ikabidi watoe adhabu kulingana na muda aliokaa ili asije kushitaki sherikali.
Kwenye katiba mpya ni lazima tubadilishe mfumo mzima wa mahakama na waweze kutoa haki kwa muda. Angalieni hao wabunge wa kinyemela tayari wana miaka miwili, sasa ukiwatoa wabunge baada ya miaka mitano ni haki ya namna gani hiyo!!
Lakini kuna kesi za kodi nyingi sana zinachukuwa miaka wakati ushahidi upo wazi!