Eti umma.. ...umma ni nani?Hiyo mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kutoa maamuzi ya hiyo kesi sababu ni kwamba kesi ya msingi haijasikilizwa kwenye mahakama za ndani kama mahakama kuu na mahakama ya rufaa, jambo la msingi la kuondolewa wananchi wa kimasai mbugani ni kulinda mazingira ya hifadhi yasiharibiwe na kuwa ni kwa manufaa ya umma(Public interests)
Kummilikisha mwarabu ndio kulinda mazingira jinga wew? Uharibifu ulofanywa na mmasai ni upi tuambieHiyo mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kutoa maamuzi ya hiyo kesi sababu ni kwamba kesi ya msingi haijasikilizwa kwenye mahakama za ndani kama mahakama kuu na mahakama ya rufaa, jambo la msingi la kuondolewa wananchi wa kimasai mbugani ni kulinda mazingira ya hifadhi yasiharibiwe na kuwa ni kwa manufaa ya umma(Public interests)
Hutaki sasa.Kummilikisha mwarabu ndio kulinda mazingira jinga wew? Uharibifu ulofanywa na mmasai ni upi tuambie
Upumbavu mtupu. Wakati wakenya wanawaondoa raia wao kule katika hifadhi yao na kupelekea askari mmoja kupigwa panga la mkono, mahakama hii na hawa watetezi uchwara wa haki za binadam walikuwa wapi?
Comment Kama hii elekeza FB kwenye page ya Gigy Money na machapisho ya udaku ya ShigongoSamia atajinyea.
Jifunze adabu.Samia atajinyea.
Kwanini?Jifunze adabu.
Upumbavu mtupu. Wakati wakenya wanawaondoa raia wao kule katika hifadhi yao na kupelekea askari mmoja kupigwa panga la mkono, mahakama hii na hawa watetezi uchwara wa haki za binadam walikuwa wapi?
Hiyo mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kutoa maamuzi ya hiyo kesi sababu ni kwamba kesi ya msingi haijasikilizwa kwenye mahakama za ndani kama mahakama kuu na mahakama ya rufaa, jambo la msingi la kuondolewa wananchi wa kimasai mbugani ni kulinda mazingira ya hifadhi yasiharibiwe na kuwa ni kwa manufaa ya umma(Public interests)
Kwanini?
Salary la loliondo na ngorongoro siyo suala la kufanyia ushabiki wa kisiasa bila kufanyia uchunguzi wa kina,wanaopinga eneo la km2 za mraba 1500 ambayo inahifadhi kwa ajili ya masalia ya wanyama ni wamasai wa Kenya ambao wamefanya lile pori kama la kwao kwa manufaa ya hawana maumivu yoyote hata likiharibika watanzania wengi hawajaliona hili hata ndugu zangu CHADEMA ambao niliwaamini kuwa wanaweza kuchambua mambo kwa umakini nao wamejiingiza kwenye mtego wa maslahi binafsiMahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao.
Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mahakama hiyo, Monica Mugenyi.
View attachment 2266552
Ok mkuu.Usipaniki mkuu. Umetoa taarifa yako bila kusema kama huko Kenya kulikuwa na kesi katika mahakama hii hii ili tuone iliamuaje. Kama hakukuwa na kesi katika mahakama hii, mfano wako hauna maana kwa sababu mahakama hushughulika na mashitaka yaliyofungiliwa katika mamlaka yake!
Hata hivo, sioni mahakama hii ikiamua in favour of wamasai kwa sababu sheria za Tanzania, ardhi haimilikiwi na raia bali serikali na mmiliki ni mamlaka ya Rais.
Nimekuwa nikijiuliza huyo mwarabu anayetajwa sana huku ni nani? mwenye details zake aziweke tumfahamuKummilikisha mwarabu ndio kulinda mazingira jinga wew? Uharibifu ulofanywa na mmasai ni upi tuambie
Kuwa na adabuSamia atajinyea.