Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo ishu ya kikatibu. Ni ishu kuhusu haki za binadamu, ishu ya kimahakama.Labda hayo ni maoni tu ya hiyo mahakama, vinginevyo hilo ni jambo la kikatiba na mabadiriko yake yatatokana na uhitaji wa wananchi.
Mkuu kwani Mtikila yeye hakuwa mwananchi?Alifungua mtikila lakini hakuwa ametumwa na wananchi. Kwa hiyo hiyo ilikuwa yake binafsi.
Uhitaji wa wananchi? wananchi wapi hao? wa CCM au wa Tanzania? Brother anaeogopa wagombea huru ni CCM sio wananchi wa Tanzania.Labda hayo ni maoni tu ya hiyo mahakama, vinginevyo hilo ni jambo la kikatiba na mabadiriko yake yatatokana na uhitaji wa wananchi.