Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hakuna cha ICC wala nyokonyoko atakuja kuchafua nchi yetu.Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja.
ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.
ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.
Tuwe na subira.
Tuwe na subira huku tukiendelea kuuwawa, kuwekwa mahabusu, kufirwa na kulawitiwa?Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja.
ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.
ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.
Tuwe na subira.
Una matatizo ya afya ya akili wewe Mwalimu! 🤣Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.
Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.
ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.
Tuwe na subira.
Acha kupaniki!Una matatizo ya afya ya akili wewe Mwalimu! 🤣
ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanzaTuwe na subira huku tukiendelea kuuwawa, kuwekwa mahabusu, kufirwa na kulawitiwa?
JUSTICE DELAYED JUSTICE DENIEDNi swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.
Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.
ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.
Tuwe na subira.
Yaani kumbe mbwembwe zote mmekaa mnaisubiri ICC!? basi hamna la kuisaidia hii nchi nyie.Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.
Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.
ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.
Tuwe na subira.
Kama hatuwezi kujikomboa wenyewe, hakuna mtu au taasisi ya nje kwenye hii dunia itatukomboa.Hivi ni kwanini icc hawajachukua maamuzi mpaka sahii ni kila kitu kiko wazi ?
Yani ni kwanini mpaka muda huu watu hawajakamatwa na kuhukumiwa?
Kabisa mkuuKama hatuwezi kujikomboa wenyewe, hakuna mtu au taasisi kwenye hii dunia itatukomboa.
Watawala wa Afrika wako tayari kuonga kila kitu kwa hao wazungu ili tu wabaki madarakani. Maana kubaki kwao madarakani ndo salama yao.Kabisa mkuu
Uko sahihi kabisa ninachokifikria ndio unachokiandikaWatawala wa Afrika wako tayari kuonga kila kitu kwa hao wazungu ili tu wabaki madarakani. Maana kubaki kwao madarakani ndo salama yao.
Gentleman,Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.
Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.
ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.
Tuwe na subira.
Kwani nyie mbwembwe zote si hua mnaitegemea polisi na MAHAKAMA.Yaani kumbe mbwembwe zote mmekaa mnaisubiri ICC!? basi hamna la kuisaidia hii nchi nyie.
ICC walishindwa kenya ile mwaka ,2007 ,Tanga tulipokea wakimbizi wengi sana ,wengine walienda huko Arusha na Kilimanjaro...Huyo Ruto alikuwa suspect ila hakuna kipya .Hivi ni kwanini icc hawajachukua maamuzi mpaka sahii ni kila kitu kiko wazi ?
Yani ni kwanini mpaka muda huu watu hawajakamatwa na kuhukumiwa?
Serikali ikibadirika watashatakiwa hapa hapa na tutawafunga,Samia atakuwa hatii kwato huku ila hao kina Katambi na Mwigulu Kalamila Mulilo japo umri umeenda anaweza asiwepo wanaodandia gari kwa mbele umri wao hawatakuja ona juwa.Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.
Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.
ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.
Tuwe na subira.
Mbona icc mnakawia Sanaa?Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.
Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.
ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.
Tuwe na subira.