PostGE2025 Mahakama ya ICC itakuja kuponya majereha yote haya japo inachukua muda

PostGE2025 Mahakama ya ICC itakuja kuponya majereha yote haya japo inachukua muda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna cha ICC wala nyokonyoko atakuja kuchafua nchi yetu.

Nguvu iliyotumika ilistahili
Usisahau.

Nguvu itakayotumika kumwajibisha Samia Suluhu Hassan na Genge lake lote itakuwa ya kutukuka na ya kihistoria ndani ya taifa hili.

Usisahau.
 
Usisahau.

Nguvu itakayotumika kumwajibisha Samia Suluhu Hassan na Genge lake lote itakuwa ya kutukuka na ya kihistoria ndani ya taifa hili.

Usisahau.
Ndoto za mwendawazimu
 
Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.

Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.

ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.

Tuwe na subira.
Crap
 
Nguruwe kama wewe hata ndoto huna
Samia ni mhalifu, hili unalijuwa waziwazi, pamoja na unguruwe wako. Hatma ya mhalifu yeyote inajulikana, popote duniani.
Wewe unayeingia humu JF na kujifanya huelewi kinachoendelea; hali hiyo haiwezi kubadili chochote katika hatma ya mhalifu. Ni lazima awajibishwe.
 
Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.

Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.

ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.

Tuwe na subira.
Au siyo?
 
ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza

Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12??? Hakuna ICC ya hivyo labda iwe ICC ya CHADEMA
Sasa naelewa kwa Nini China inaichukulia dini yako kama ugonjwa wa akili
 
Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.

Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.

ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie kazini kwani hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo.

Tuwe na subira.

26 November 2025
Hifadhi ya Mikumi
Morogoro

Serikali yaitaka TANAPA kutafuta mkandarasi mpya na kuharakisha ujenzi wa uwanja wa ndege hifadhi ya Mikumi

View: https://m.youtube.com/watch?v=Y2zGJ7UdrJI&pp=ygUSUlMgTU9ST0dPUk8gVEFOQVBB

Dkt. Kijaji aitaka TANAPA kutafuta mkandarasi mpyaWaziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, ameliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kumtafuta mkandarasi mwingine wa kuendeleza ujenzi wa uwanja wa ndege katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kabla ya Disemba 5 mwaka huu 2025Ili kuboresha huduma kwa watalii wa hifadhi hiyo na hivyo kuongeza idadi ya watalii.

Waziri Dkt. Kijaji ametoa agizo hilo Novemba 25, 2025 wakati wa ziara yake ya kujitambulisha Mkoani Morogoro baada ya kuteuliwa kushika wizara ambapo pamoja na kujitambulisha ametembelea Hifadhi ya Mikumi kwa lengo la kukagua miradi inayotekelezwa na Serikali na kuona jinsi inavyokamilika kama ilivyopangwa.“…nimewaelekeza TANAPA ni muhimu hadi kufika tarehe 5/12/2025 tuwe tumeshapata mkandarasi mwingine ili amalizie kipande cha asilimia 40 kilichobaki…” amesisitiza Dkt. Ashatu Kijaji.

Aidha, Dkt. Kijaji amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imetoa zaidi ya Shilingi bilioni 36 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa REGROW ikiwemo ujenzi wa kiwanja cha ndege na mabanda kwa ajili ya wageni ndani ya Hifadhi ya Mikumi.

Amebainisha kuwa ujenzi unaendelea vizuri huku akiitaka TANAPA kuhakikisha kasoro zilizojitokeza, ikiwemo kusuasua kwa ujenzi wa kiwanja cha ndege, zinapatiwa ufumbuzi kwa kutafuta mkandarasi mpya ili kazi iendelee kama ilivyokusudiwa.Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Kighoma Malima, amesema mkoa huo una hifadhi tatu muhim ambazo ni Hifadhi ya Mwalimu Nyerere, Udzungwa na Mikumi ambapo amesema kuongezeka kwa watalii katika hifadhi hizo kumeongezeka kutokana na uwepo wa treni ya mwendokasi SGR.

Katika hatua nyingine, Mhe. Malima amewataka madereva, hususan wanaotumia barabara inayokatisha Hifadhi ya Mikumi, kutumia barabara hiyo kwa ustaarabu na kuacha kuchafua mazingira ndani ya hifadhi hiyo huku akisisitiza kuwa utunzaji wa rasilimali hizi ni jukumu la kila Mtanzania kwa maendeleo ya taifa.Aidha, Wizara ya Maliasili na Utalii imesisitiza kuwa utekelezaji wa miradi kama hii si tu unalenga kuongeza mapato, bali pia kuboresha huduma na miundombinu ndani ya hifadhi ili kuvutia wawekezaji na kuinua kiwango cha utalii nchini, jambo linalotarajiwa kuongeza ushindani wa Tanzania katika sekta hiyo kimataifa
 
21 August 2026
Morogoro, Tanzania

FEASSA 2026 Yaangazia Jukumu Linalokua la Michezo ya Shule za Mikoa Afrika Mashariki​

Agosti 21, Morogoro, Tanzania -

View: https://m.youtube.com/watch?v=DzN4E-1o3cY
Michezo ya FEASSA ya 2026 huko Morogoro imeangazia jukumu linalokua la michezo ya shule za kikanda katika Afrika Mashariki, huku ikiunda fursa mpya za kuimarisha njia kutoka mashindano ya kitaifa na kikanda hadi hatua ya michezo ya shule za kimataifa.

Toleo la 23 la Michezo ya Shirikisho la Vyama vya Michezo vya Shule za Upili za Afrika Mashariki (FEASSA) lilileta pamoja zaidi ya wanariadha 5,000 wa wanafunzi katika kategoria za Elimu ya Msingi, Sekondari na Elimu ya Mahitaji Maalum. Kwa timu 413 kushiriki, toleo la Morogoro likawa kubwa zaidi katika historia ya Michezo ya kikanda na kupanua zaidi wigo wa ushiriki wa michezo shuleni kote Afrika Mashariki.

Picha
Denis Otieno, Rais wa Chama cha Michezo cha Shule za Sekondari Tanzania (TSSA)

Kwa kuwakilisha Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, FEASSA hutoa jukwaa muhimu la kikanda ambalo shule, vyama vya kitaifa vya michezo ya shule na mamlaka za elimu wanaweza kubadilishana uzoefu na kukuza wanariadha wachanga. Michezo ya 2026 pia iliimarisha uhusiano kati ya michezo ya shule ya kikanda na kimataifa, huku washindi wa FEASSA wakipata fursa za kuendelea na mashindano ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na matukio ya ISF.

Pamoja na programu ya michezo, Kongamano la FEASSA liliwaleta pamoja viongozi wa elimu na michezo ya shule kutoka nchi zote tano wanachama ili kujadili " Njia za Kukuza Vipaji vya Michezo: Kutoka Michezo ya Shuleni hadi Ubora wa Kikanda na Kimataifa. " Majadiliano yalishughulikia utambuzi na maendeleo ya vipaji, ustawi wa wanariadha, sayansi ya michezo, ujumuishaji, sera ya michezo ya shule na hitaji la uratibu thabiti kati ya mifumo ya kitaifa.
Kongamano la 2026 pia liliangalia hatua inayofuata ya maendeleo haya, ikiwa ni pamoja na uhusiano imara zaidi kati ya FEASSA, miundo ya kitaifa ya michezo ya shule na mashindano ya kimataifa, pamoja na matarajio makubwa kwa Afrika Mashariki kuandaa matukio ya kimataifa ya michezo ya shule . FEASSA imetambua fursa za kufuatilia uandaaji wa aina mbalimbali za matukio ya ISF, ikiunganisha zaidi maendeleo ya kikanda na harakati za kimataifa za michezo ya shule.

Huku FEASSA ikiendelea kupanua jukwaa lake la kikanda, ISF inatarajia kuimarisha ushirikiano na shirika hilo na nchi wanachama wake, ikiunga mkono njia iliyounganishwa zaidi ambayo wanariadha wachanga wanaweza kupitia kutoka michezo ya shuleni hadi mashindano ya kikanda na, hatimaye, jukwaa la kimataifa

View: https://m.youtube.com/watch?v=RvA4j_TuTN0
 
Hivi ni kwanini icc hawajachukua maamuzi mpaka sahii ni kila kitu kiko wazi ?

Yani ni kwanini mpaka muda huu watu hawajakamatwa na kuhukumiwa?
Ukiona wako kimya basi ujuwe wale mahayawani walistahili walichopata cc BLACK_
 
Back
Top Bottom