Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
amedhalilishwa tena vya kutosha, tena na vibwamdogo tu vya kizungu ona huyo dogo hata 30 anaweza kuwa hajafika ila anamsumbua mtu anayejiita profesa wa kibongolala.Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730
tunataka sikiu moja aende na mwigulu na phd yake ya open university tukamsikie anaongeaje. akimaliza huyo aende Jafo na Doto.Hazifutiki..
Mimi pia nimeshangaa kumbe hawa ICDS wana YouTube channel Yao na hearing ya kesi hii yote imepositiwa huko..
Kuna video za kesi hii part 1 hadi 7 na zote ni za masaa kati ya 2 hadi 3½ ..
Ama kweli sasa dunia hii ni ya uwazi mno. Bila shaka hata Tanzania tunahitaji kesi zote zisikilizwe Kwa uwazi wa namna hii...
Prof alikuwa ni witness. Tatizo pale haikuwa lugha bali ni vifungu vya mkataba ndivyo vilikaa vibaya. Kumbukeni tuliwanyang'aya lesini bila kufuata taratibu za mkataba baina yetu.
Ukifanya kitu kibabe mahakamani huwa ni maumivu tu. Maneno hubaki kinywani
Ameyataka mwenyewe mtu wa geology ametoka wapi na wanasheriaa sipati picha Yule aliye kuwa mwanasheria wa jiwe bwana adeledurus kilangi jamaa alikuwa mweupe mno
Hyo Kaz angepewa Andrew chenge tungeshinda hyo kesi
Ni mwana CCMTatizo kubwa la nchi hii watu hawana Professional Intergrity.
Wasomi wengi wanaendeshwa na Wanasiasa.
Kwenye la kuvunja mikataba wa kulaumiwa anajulikana wala sio Prof. Mruma
Nasikia kwasasa wame restrict kuipata Tanzania lazima utumie VPN. Wanafikiri aibu ni hapa Tanzania kumbe ni huko nje ndio tunaonekana ni empty. Baba unakaa uchi nje alafu ndani kwako unajufunika! Ujinga ule ule na uwezo ule ule wa kufikiri.Hazifutiki..
Mimi pia nimeshangaa kumbe hawa ICDS wana YouTube channel Yao na hearing ya kesi hii yote imepositiwa huko..
Kuna video za kesi hii part 1 hadi 7 na zote ni za masaa kati ya 2 hadi 3½ ..
Ama kweli sasa dunia hii ni ya uwazi mno. Bila shaka hata Tanzania tunahitaji kesi zote zisikilizwe Kwa uwazi wa namna hii...
MKATABA MBOVU WAITIA KITANZI TANZANIASi sahihi kumtetea Pro. Mruma kuwa amevunjiwa heshima, kilichotokea ni udhaifu wa elimu yake. Pro. Mrema alionekana anaelekezwa kufungua kurasa! Pro. Mrema alijitetea kwa kusema eti hajisikii vizuri kwani hakuamka vizuri! Huu ni utetezi wa kitoto.
Si unaona hapo, inamaana baadae walilazimishwa waikatae kwa visingizo kuwa walikuwa wanavutia uwekezaji.Kweli alikuwa mkweli ,hasa aliposema miaka ya 2013-14 walikubali hiyo mikataba ya hovyo wakijua kabisa ,sema walikubali ili kuvutia uwekezaji.
Wale hawakujiandaa kabisa! Kesi za nchi wanaenda kienyeji kama wameenda vacation! Ndio maana kesi zote tunashindwa huko nje, mawakili kama wale wanaweza kutolewa jasho hata juniors tu.Si unaona hapo, inamaana baadae walilazimishwa waikatae kwa visingizo kuwa walikuwa wanavutia uwekezaji.
Hilo ni neno ambalo limemshangaza hata yule mmwanasheria aliyekuwa namuuliza.
Dah, ni masikitiko makubwa sana. Mapaka akamuulzia, hili ndilo ulilofundishwa na wanasheria wako uliseme?
Yeye pale angejibu kuwa, hizo sheria za zamani na tulibadili namna ya uwekezaji kwa sheria mpya. Ili aje mwanasheria kujibu.
Inaonesha hakupata muongozo mzuri wa kujibu, yeye anaulizwa na mwanasheria ilitakiwa mwanasheria aweo pembeni yake kumpa muongozo wa namna ya kujibu.
Kiufupi ni utumbo mtupu. Hata ukweli hakuweza kuuelezea ipasavyo, nakubaliana na wanaoisema ni lugha.
Hivi Profesa kama huyu tutegemee wanafunzoimwake wawe vipi?
Ndiyo maana wenye uwezo wao hawawasomeshi watotozao Tanzania, ni waste of time tu.
Nimemaliza kusikiliza video ya pili ya siku ya kwanza, sasa nimeingia video ya kwanza ya siku ya pili. "ledi", mwanasheria huyo anamaanisha "ready". Sasa haelewi kuwa ledi ina sound kama "lady" yaani mwanamke, mpaka Madame Pesident alifikiri anaitwa yeye akatazama, kumbe mtu anasema yupo tayari.Wale hawakujiandaa kabisa! Kesi za nchi wanaenda kienyeji kama wameenda vacation! Ndio maana kesi zote tunashindwa huko nje, mawakili kama wale wanaweza kutolewa jasho hata juniors tu.
Tumedhalilishwa sana!
Embu andika ukaeleweka basi, unaandika kama unakimbizwa. Huyu ni Mruma yupi? Kesi inahusu nini? Against nani? Inafanyikia wapi? Lini?Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730
Mleta uzi alikua anakimbizwaHuu Uzi haujakaa sawa.
Mruma ni nani?amefanya Nini?wakati gani? Amfanya wapi?Sababu ya kufanya ni ipi?
Kakosea wapi ? Wakati kesi tumeshindwa Kwa kuvunja mikataba ya hovyo.Una mawazo ya hovyo sana.
Kumbuka kukosea kwake taifa inalipa gharama kubwa. Tena billions
Kila kitu unaangukia kweny upande wa siasa ndo tatizo Bado akili haijakomaa.Hajadhalilika hapo amewadhalilisha wazungu 🤣🤣🤣🤣😜
Hiyo ndio miujiza ya wasomi wa TanzaniaAibu sana hii
Ile video isifutwe ili iamshe ari ya watu kutimiza wajibu wao kwenye mashauri yanayolihusu Taifa kwa maslahi ya Taifa ! Kuifuta hiyo video ni kuficha ugonjwa ambao utakuja kuumbuliwa na kifo !Issue sio matokeo tu, ukifatilia vyeti vyao ni vipanga kweli. Issue ni exposure! Huku private mahojiano/ negotiations kama hayo ni kila siku virtual meetings au physical.
Mfano kuna lugha za kisheria, kuna lugha za kibiashara, kuna lugha za kiuchumi n.k discussion kama ile lazima mtu awe na element of law na business.
Pia nimeshangaa hata body expression hazikuwa nzuri, ni rahisi kuonekana unadanganya, hujui, hujitambui n.k kuna muda professor alikuwa anatoboa karatasi kwa pen , mara afunue file unnecessarily n.k
Hivi tunaendaje kwenye case hizi bila hata rehearsal walau? Mambo ya nchi tunauliza maswali ambayo huoni yatasaidia nini!
Very embarrassing! Hili swala watu wanacheka lakini sio Issue ya kutaniana bali ni Issue ya kuibua mjadala uwezo wa watu wetu. Hii case nani anasimamia? Hawa watu wameandaliwa vipi? Hata kama ni case ya kushinda utashinda vipi namna hii?
Binafsi nimejisikia vibaya sana, ningekuwa na uwezo ningeifuta ile video maana inatuvua nguo tu.
Huyo tena kafanya nzuri sana, kaenda kama shahidi na katowa ushahidi wake, kumbuka huyo hakwenda pale kama mwanasheria wa kumtetea yeyote. Siyo kazi yake.Prof..Abdulkarim Hamis Mruma
Professor of Geology, currently serving as a Commissioner for the Mining Commission in Tanzania.
Mining Commission in Tanzania.
MADRASA MWENZENU NDUGU YENU HUYO BRO.