Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Hyo mahakama kama una tatzo la lugha ya malkia.. unaingia hapo ushashindwa 60%
 
Kumamamaqe tunawambiaga mikataba muwe mnaandika kwa kiswahili hamsikii ona anavyomungunya maneno sasa [emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Magufuli aligundua kuwa CCM imejaa maboga yasiyoweza kumsaidia lolote ndiomaana alianza kuiba vijana wenye elimu nje ya CCM na kuwaingiza kwenye mfumo.

Nchi ya kipumbavu kabisa hii.
Lakini mbona na yeye alikuwa matope tu kama siyo kujaza minyoo kichwani😎
 
Pro Mruma sio kwamba ni kiliza ila maji ya kimwagika haya zoleki ,kilicho fanyika ni kama alilazimishwa uokote maji yaliyomwagika which is impossible na ndio haya haya ya bandari tunayoyapigia kelele sasa hivi ,let's us be serious in any covenant we want to enter into ,history will judge us.
 
Not in Tanzania
 
Kwanini Prof Sospeter Muhongo aliyesaini nyaraka na pia alikuwa waziri wa nishati na madini mwaka 2013-2014 hakuwa miongoni mwa mashahidi waliopelekwa kwenye mahakama kutetea maamuzi ya Tanzania?
 
Hilo ndio Tatizo letu Tanzania, tunataka mambo ya Miamba basi heads wa idara lazima awe geologist au Head wa Idara ya Afya head awe MD.

sasa case kama hiyo si bora angeenda lawyer kuwakilisha.
ukiwa mkuu wa taasisi, hizo ni fursa. kusafir, maposho, shopping ...nk. kila mtu anajua mambo ya kisheria wanaachiwa wenyewe lkn wp, wanajpeleka wenyewe. wameadhirika vy kutosha lkn wakilingnisha na watakachovuna, wanaxema "potlea mbl". Tz ttaendlea kushindwa kesi ktk mahakma z nje had ttakapokuwa na serkali makini. katiba mpya ni xaxa
 
Hilo ndio Tatizo letu Tanzania, tunataka mambo ya Miamba basi heads wa idara lazima awe geologist au Head wa Idara ya Afya head awe MD.

sasa case kama hiyo si bora angeenda lawyer kuwakilisha.
Hatuna Mwanasheria toka Tanzania anaweza kusimama High Court Londan akashinda kesi
 
Loud and clear
 
Nimesikiliza ushahidi wote wa pande zote kwenye kesi hiyo.Nilichobaini wanasheria wetu wa Tanzania wako vizuri sana.Wanasheria wa Winshear ni wababaishaji wanaotumia taarifa za kwenye magazeti tu.Pia walalamikaji ni wababaishaji kabisa.
Hiyo kesi Tanzania tunastahili kushinda.
 

Wewe ni mchambuzi kuliko kocha aliyekuwa mpirani.
Kwa nini wanaogopa wanaowaeleza ukweli kuhusu kesi za tanzania wanabakia kupeleka wanaojua wao na kila kesi tunashindwa
 
Ubobezi wa wasomi wa TZ, tena hawa, waliopo serikalini,ni ndani ya, nchi, tu, nje huko ni vilaza watupu, huwa tunaona hata kesi za, hapa, nchini, jinsi wanavyoburuzwa na kina Kibatala,mpaka serikali inabidi iingilie kumshawishi, hakimu ahamue kwa upendeleo,
Wewe unaburuzwa na Kibatala, tena bongo, kwa kiswahili,tena Kibatala mwenyewe hajasoma Harvard,
Sembuse ukakutane na vichwa vya Harvard! Tena kwa kizungu!
Huyo Igenge, kila kitu akiulizwa ye ye anasema Yeeees, kumbe hajasikia swali, sehemu ya kusema "please come again, au, please repeat ur question! Ye ye amekazana tu Yeeees! Cross examining lawyer akawa anaandika tu, anajua shahidi kakubali.
Mawakili wetu wameenda kuuza sura tu,
Wale wadada, walichofanya kilichokuwa kina catch attention, ni style ya nywele tu, kwa kweli walipendeza,
Ila haya majina haya!" Kendaguza"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…