Mahakama ya Iran imetoa hukumu ya kifo maafisa 4 wa MOSSAD

Mahakama ya Iran imetoa hukumu ya kifo maafisa 4 wa MOSSAD

Tehran itawaka moto muda si mrefu. Wanasayansi wajiandae.
Iran ina nguvu sana. Kihistoria Irani ni transformation ya Babeli, Waamedi na Waajemi ambao waliwakamata Wayahudi na kuwatumikisha Utumwani kwa miaka mingi kule Nchi ya Shinari, Elamu na Ngomeni.

Vita ya wayahudi na Waajemi tunaweza kuiona Tangu zamani enzi za Kina Daniel, Nehemia, Ezra, Nebkadinzea, Yehoyakim, yekonia, Hezekia na Akina Amoni.
 
Waliwakamata wayahudi sababu walimuuzi Mungu kwa kutumikia miungu mingine
 
Those are mere scapegoats that the despotic regime in Teheran wants to sacrifice in order to reign fear on the limbless people of Iran.
 
Hao sio MOSSA, hao ni raia wa Iran kila siku Iran inaua raia wake wenyewe kwa kisingizio cha kushirikiana na MOSSAD
Mahakama ya Iran imewahukumu kifo wanachama 4 wanaohusishwa na MOSSAD, ambao walikamatwa hapo awali.

Magaidi hawa chini ya uongozi wa maafisa wa Mossad, walikuwa wakifanya shughuli za kuhatarisha usalama wa Iran.
 
Umehamaki tu bure! Anaweza kuwa hana maana ya kukejeli kama unavyozani wewe.
Iran siku ya Ijumaa iliwanyonga watu wanne waliopatikana na hatia ya kufanya ujasusi kwa adui mkuu wa Israel, mahakama ilisema, chini ya wiki mbili baada ya mamlaka kumuua mtu kwa misingi kama hiyo.

"Wanachama wanne wa kundi la hujuma linalohusiana na utawala wa Kizayuni (Israel)... wamenyongwa asubuhi ya leo" katika mkoa wa kaskazini magharibi mwa Iran wa Magharibi mwa Azerbaijan, tovuti ya mahakama ya Mizan Online iliripoti.
 
Those are mere scapegoats that the despotic regime in Teheran want to sacrifice in order to reign fear on the limbless people of Iran.
The semi-official Tasnim news agency identified the four executed on Friday as Vafa Hanareh, Aram Omari, and Rahman Parhazo, along with the woman, named Nasim Namazi. They were the principal convicts in a case that involved 10 offenders, it added, but it was not immediately clear if the rest would also face execution.
 
Back
Top Bottom