Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Jamaa anachinja rai wake mwenyewe tena majambazi anawaita WayahudiThe semi-official Tasnim news agency identified the four executed on Friday as Vafa Hanareh, Aram Omari, and Rahman Parhazo, along with the woman, named Nasim Namazi. They were the principal convicts in a case that involved 10 offenders, it added, but it was not immediately clear if the rest would also face execution.
na hawa ndio ndugu zako.Wanakumbi.
🇮🇷Mahakama ya Iran imewahukumu kifo wanachama 4 wanaohusishwa na MOSSAD, ambao walikamatwa hapo awali.
Magaidi hawa chini ya uongozi wa maafisa wa Mossad, walikuwa wakifanya shughuli za kuhatarisha usalama wa Iran.
View: https://x.com/aryjeay/status/1740616443589521684?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
hao anaonyonga ni raia wa Iran, ila wanapewa mpunga na Israel ili wawe machawa. vijana tafuteni pesa, ukiwa na pesa unaweza kutalawa yeyote au kumchunguza yeyote.Nilijua analipiza kisasi kama alivyosema, kumbe anaua rais wake anaohisi wanahudhuria na Israeli.
Mayaudi wenzako angalia wanachakipata Gaza
Mayaudi wenzako angalia wanachakipata Gaza
hapo mwamba amebaki mavumbi hata hajajua amefikaje ahera kukutana na mabikira 72.
Ila MOSSAD wanawadonoa sana makamanda wa Iran, Sio nje ya Iran yaani hadi ndani ya Iran, sijui Iran anafeli wapi!?Good! well done Iran.
Sharia ifate mkondo wake tu.Wanakumbi.
🇮🇷Mahakama ya Iran imewahukumu kifo wanachama 4 wanaohusishwa na MOSSAD, ambao walikamatwa hapo awali.
Magaidi hawa chini ya uongozi wa maafisa wa Mossad, walikuwa wakifanya shughuli za kuhatarisha usalama wa Iran.
View: https://x.com/aryjeay/status/1740616443589521684?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
sharia ndio kitu gani we mbibi?Sharia ifate mkondo wake tu.
Majasasi wa Israel wanauliwa sana Israel huwa wanakausha kutangaza hata majuzi kuna ofisa mkubwa wa Mosssad kauliwaa na bomu Israel wamepiga marufuku kutangaza… soma hiiIla MOSSAD wanawadonoa sana makamanda wa Iran, Sio nje ya Iran yaani hadi ndani ya Iran, sijui Iran anafeli wapi!?
ndipo ulipolipata neno sheria.sharia ndio kitu gani we mbibi?
Umeandika vema sana , hii ipo ndani ya Bible. Japo wapo wanaosema hawa wa leo siyo wayahudi au wana wa isarel. Nafurahi kuona wapo watu wanajua mambo haya.Iran ina nguvu sana. Kihistoria Irani ni transformation ya Babeli, Waamedi na Waajemi ambao waliwakamata Wayahudi na kuwatumikisha Utumwani kwa miaka mingi kule Nchi ya Shinari, Elamu na Ngomeni.
Vita ya wayahudi na Waajemi tunaweza kuiona Tangu zamani enzi za Kina Daniel, Nehemia, Ezra, Nebkadinzea, Yehoyakim, yekonia, Hezekia na Akina Amoni.