Hatuwezi kuruhusu kila kikundi cha dini kiwe na mahakama yao! Hii itakuwa ni vurugu!
Mwisho wapagani watataka mahakama yao, wakristo ya kwao hadi walevi watataka mahakama yao.
Hakuna mjadala, no mahakama ya kadhi hapa tz.
Cc@Faizafoxy
Badala ya kukazana kujenga shuke nzuri, referal hospitals, and the like mnakazana na kadhi! Nauliza Kadhi ni hospital? kadhi ni shule ? kadhi ni university? Kadhi ni barabara ya lami? Kadhi ni mgodi wa madini?
katiba bila kadhi aipiti ng'o
Usilolijua sawa na usiku wagiza!toeni povuuu lakini mahakama yakadhi tutapata.
Tunataka mahakama ta kadhi la sivyo nchi haitotawalika.
Ianzisheni huko huko misikitini hakuna wa kuwaingilia!
samahanini wakuu naomba mnijuzu maana hadi leo sjapata kuelewa kwamba
"mahakama ya jamhuri ya muungano wa tz inakoseaga wapi mpaka ikapelekea watu waone wanahitaji mahakama ya kadhi?"
Very good. In fact the said cult was dead before it was formed.R.i.p muslim
Unajua CCM wanataka kutumia kete ya udini na hoja ya mahakama ya kadhi ili kuendelea kubaki madarakani. Sasa kama kweli wana dhamira njema watende haki kwa dini zote. La sivyo UKAWA walitumie hili suala la ruzuku kwa mahakama ya kadhi, na ruzuku kwa huduma za jamii kwa dini zote, kama sehemu ya ilani yao ya uchaguzi.Hili wazo binafsi nimelipenda sana. Hapa jambo muhimu ni kudumisha amani na upendo katika nchi yetu.