Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Usilolijua sawa na usiku wagiza!toeni povuuu lakini mahakama yakadhi tutapata.

Mahakama ya kadhi ni University? Mahakama ya kadhi ni homework? Mahakama ya kadhi ni referal hospital? Tafakari chukua hatua!
 
Mahakama ya kadhi ni University? Mahakama ya kadhi ni homework? Mahakama ya kadhi ni referal hospital? Tafakari chukua hatua!

Wee jamaa ----- sana!kama mahakama yakadhi si kitu kikubwa iweje mnaipinga?
 
Badala ya kukazana kujenga shuke nzuri, referal hospitals, and the like mnakazana na kadhi! Nauliza Kadhi ni hospital? kadhi ni shule ? kadhi ni university? Kadhi ni barabara ya lami? Kadhi ni mgodi wa madini?

Kwa kuwa 2005 iliwapa kura za Waislamu, leo 2015 kwa sababu hawana tena sera, wameona kuwalaghai Waislamu walete hiyo hoja. Leteni hoja mujarab za kumsaidia Mtz kimaisha. Siyo hoja dhaifu ka Kadhi, kadhi, kadhi.
Mahakama ya kadhi itamkomboa Mtz kwenye umasikini huu tulio tumbukizwa??? Kadhi atatuondo;ea ujinga huu tulitumbukia? Leteni hoja mujarab
 
Tena kwahili la mahakama ya kadhi hata mimi kura yangu nitawapa!..kwani nyani na ngedere sindo walewale 2.
 
samahanini wakuu naomba mnijuzu maana hadi leo sjapata kuelewa kwamba
"mahakama ya jamhuri ya muungano wa tz inakoseaga wapi mpaka ikapelekea watu waone wanahitaji mahakama ya kadhi?"
 
Hatuwezi kuruhusu kila kikundi cha dini kiwe na mahakama yao! Hii itakuwa ni vurugu!
Mwisho wapagani watataka mahakama yao, wakristo ya kwao hadi walevi watataka mahakama yao.
Hakuna mjadala, no mahakama ya kadhi hapa tz.
Cc@Faizafoxy

kwq hio ww unaeruhusu ni nani ktk nchi hii
 
Hatuwezi kuruhusu kila kikundi cha dini kiwe na mahakama yao! Hii itakuwa ni vurugu!
Mwisho wapagani watataka mahakama yao, wakristo ya kwao hadi walevi watataka mahakama yao.
Hakuna mjadala, no mahakama ya kadhi hapa tz.
Cc@Faizafoxy

Na Tena Mpaka ------- Watataka Mahakama Zao
 
Hatuwezi kuruhusu kila kikundi cha dini kiwe na mahakama yao! Hii itakuwa ni vurugu!
Mwisho wapagani watataka mahakama yao, wakristo ya kwao hadi walevi watataka mahakama yao.
Hakuna mjadala, no mahakama ya kadhi hapa tz.
Cc@Faizafoxy

Na Tena Mpaka ------- Watataka Mahakama Zao, Mahakama Ya Kadhi Tupa Kule
 
Back
Top Bottom