Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Unatokwa na mapovu bure kwa kudhani mahakama ya kadhi itakuzuia kula nyamafu na kangara ulizozoea.
Usikhofu. Pia kama umeolewa ndoa ya jinsia moja kadhi hatoingilia ujinga wako hu

ila hata wewe kubaka mtoto wa miaka 6 itakuwa ruhusa
 
Hata kichwa chako kiko tupu kama mahakama ya kadhi.

Unatokwa na mapovu bure kwa kudhani mahakama ya kadhi itakuzuia kula nyamafu na kangara ulizozoea.
Usikhofu. Pia kama umeolewa ndoa ya jinsia moja kadhi hatoingilia ujinga wako hu
 
Kama Waislamu ni wengi wanaogopa nini kuunda Mahakama zao?

Kama wanataka mahakama yao.wagaramie wenyewe haiwezekani wakristo haiwahusu watoe kodi kugharamia yasiyo wahusu waanzishe kivyao afterall kila dini ikiweka mambo yao patatawalika nchi ibaki kuwa secular state udini haufai
 
Tunatumia kwa kujengea vyoo vya miskiti na vyoo vya madrasa. Usishange pesa chafu tunatumia kwa uchafu.

hizi ni dalili na majibu ya watu wasiojielewa kabisa.......wameishiwa na utashi wa kufikiri" @ vyoo vya madrasa, tangu lini mahali pachafu pakaingia watakatifu"? Kama ndivyo nyie watakatifu mbaki na utakatifu wenu, mahakama ya kadi ibaki kwa watakatifu waislam! ........"
 
Uislam haukalibishwi unaingia wenywe kwa watu wenye akili timamu wenye kujitambua na wenye kutumia akili
Wakati uingereza wanawake wanajivunia sheria za mwanaume kuoa zaidi ya mke mmoja kwao ni ukombozi

Utafiti (usiniulize wa nani) unaonyesha kuwa muislam ata asome vipi akili zake ni finyu sana, mtu anazungumzia kuoa wake wengi kwenye ulimwengu wa leo kweli? mtu anagombea kuchinja ng'ombe kuwa ni haki yake(kwa misosi hasa wali/pilau)kumbuka shehe ubwabwa n.k, watu wanataka dola ya kiislam je wale wasio waislam, nchi nyingi ziliwaheshimu kama lakini zinajuta ugaidi ugaidi ugaidi ugaidi ndio kazi waliyobaki nayo, kwa nini Ebola isiende kwa ISIS?
 
maaskofu wetu, kadnari Pengo, Mwasota, Malasusa, Kakobe, Gamanywa, Mtokambali, Na Wengine Wote MKO WAPI! Tunataka Sauti Zenu. Sisi WAUMINI WENU HATUKUBALI KUONA Nchi Yetu Inavurugwa Na Ccm Kwa Uroho Wa Kushika Dola Kupitia dini! Tumekuwa Na Amani Nchi Kwa Kutokuhusisha Mambo Ya Dini Ktk Serikali. Ombi Letu Tuendelee Hivyo. Hatupendi Tufike Mahali TZ TUna Makundi Ya kidini kama SELEKA na ANT BARAKA. wakristo tu wa amani lakini HATUKUBALI NCHI KUWA YA DINI YOYOTE. TZ ni tofauti na KENYA ambao uislam hauna impact kwa sababu ya uchache wa waislamu. sisi hawa watatutesa na kutuua kwa kuwa wanalindwa na sheria mama. HATUKUBALI.
 
Kilichofanya nchi hizo kuanzisha hizo mahakama ni udhaifu wa kisiasa, walitaka kuwawin waislamu lakini yanawatokea puani sasa. Sasa hivi nchi za ulaya zinajuta kukaribisha uislam uliosababisha kushamiri uitikadi kali. but they have to swallow their pride. Issue hapa ni kile kitendo cha kuimove serikali kuanzisha taasisi ya kidini wakati wenye dini wenyewe wapo!!! hivi nyie waislam mme kuwa dhaifu kiasi hicho? hamuwezi kuanzisha taasisi zenu za kuhandle mambo yenu mpaka bunge/serikali iwaaanzishie? Leo ukianzisha mahakama ya kadhi, kesho waislamu navyowafahamu wataingia mitaani kudai kutumika kwa sheria zote za kislamu ikiwemo ya kuua watakao badili dini, najua mtasema mahakama hiyo itadeal na civil matters only,lakini hiyo ni kwa muda tu waislamu watadai kwa nguvu mambo mengine na ndipo damu itaanza kumwagika hapo mwenye masikio na asikie jamani, hivi kuna asiyejua kinachoendelea Iraq? hawa ndugu zetu wako weak sana kiimani, ukatiri wameuweka mbele sana, ni watu wasio na maendeleo ya kifikra hata kidogo, kazi kulalamika lalamika tu ndio imani yao inawajenga hivyo, mfano wazenj walalamikaji sana, wabaguzi sana . sema siku hizi kwa sababu ya interlactions lakini anayejua historia vema atakwambia tabia zao, mfano mtoto anamuaga mama yake anasema "mama nakwenda pale kwa mkristo" ndio ilikuwa hivyo zamani, anayebisha abishe tu.

Kwani tangu mahakama ya kadhi ianzishwe kenya ina miaka mingapi? Vipi tayari washanza kysema mahakama ya kadhi iwe inatoa full sharia? Na Zanzibar je? Tatizo lenu wakiristo mnajifanya wasomi kumbe zero wa tiro..... Kwani Tanzania ni Islamic State? Ukinambia hapana sasa utabidi nkuulize, kwanini waislam wasiishinikize serikali kuitambua mahakama ya kadhi wakati tz si islamic state? Lau kama ingekuwa islamic state basi ingekuwa ni LAZIMA iwepo bila kusubiri serikali, hii sio nchi yetu waislam ndio maana tunaiomba serikali kutambua mahakama ya kadhi..... Aliekwambia kuwa izo nchi za Europe zinajuta kuweka iyo mahakama nani? Unafikiri michezo ya kiyahudi na makafiri hatuijui? Kutengeza vikundi na kuviita vya kiislam ili kuchafua uislam, propaganda izi ni za kizamani na zitaingia kwa wale vichwa mchungwa. Uislam unaruhusu revenge, sifikiri kama wewe mtu aje amuue mama yako alokuzaa kisha utacheka nae, lakini still pia uislam umehimiza kusameheana. Waislam hatupigani mpaka mtuchokonoe, kama vita ya mwanzo makafiri tulivowamaliza.....
 
hizi ni dalili na majibu ya watu wasiojielewa kabisa.......wameishiwa na utashi wa kufikiri" @ vyoo vya madrasa, tangu lini mahali pachafu pakaingia watakatifu"? Kama ndivyo nyie watakatifu mbaki na utakatifu wenu, mahakama ya kadi ibaki kwa watakatifu waislam! ........"

Umefika mwisho wa hoja sasa unaandika tu bila hata kujua nini unacho kiandika.
Pumzika
 
Nimegundua mchawi wa Amani yetu ni nyie ambao baaada ya kucheza bao na kunywa kahawa mnatiana ujinga wa Kadhi kadhi. Hao Kenya wenyewe wanaionea wivu amani yetu, mkitaka hamieni kule mkahukumiwe na hao wa huko, huku kwa Mwl. J. K. Nyerere paacheni kama alivyopaacha.

Wakristo tutaendelea kuwa na msimamo kwamba hao wapiga kelele zisizo na tija kwa Taifa wanaishia kumaliza nguvu tu but hawapati kitu.

Mwenye macho haaambiwi tazama.
 
Kwani tangu mahakama ya kadhi ianzishwe kenya ina miaka mingapi? Vipi tayari washanza kysema mahakama ya kadhi iwe inatoa full sharia? Na Zanzibar je? Tatizo lenu wakiristo mnajifanya wasomi kumbe zero wa tiro..... Kwani Tanzania ni Islamic State? Ukinambia hapana sasa utabidi nkuulize, kwanini waislam wasiishinikize serikali kuitambua mahakama ya kadhi wakati tz si islamic state? Lau kama ingekuwa islamic state basi ingekuwa ni LAZIMA iwepo bila kusubiri serikali, hii sio nchi yetu waislam ndio maana tunaiomba serikali kutambua mahakama ya kadhi..... Aliekwambia kuwa izo nchi za Europe zinajuta kuweka iyo mahakama nani? Unafikiri michezo ya kiyahudi na makafiri hatuijui? Kutengeza vikundi na kuviita vya kiislam ili kuchafua uislam, propaganda izi ni za kizamani na zitaingia kwa wale vichwa mchungwa. Uislam unaruhusu revenge, sifikiri kama wewe mtu aje amuue mama yako alokuzaa kisha utacheka nae, lakini still pia uislam umehimiza kusameheana. Waislam hatupigani mpaka mtuchokonoe, kama vita ya mwanzo makafiri tulivowamaliza.....
Kenya ni nchi ya udini na ukabila ss hatuwezi kuwaiga
 
Kwa nini mtake special treatment?that is a weakness!!!! why not chritisians? Tanzania kuna sheria ya kusajiri makanisa na misikiti je haitoshi? mpaka mtake utambuzi pekee? one of the hopeless religion ever in the world is islam. Revenge ndio chanzo cha ukatiri na mateso dhidi ya watu wengine, mkristo anakwambia samehe saba mara sabini( utasema mjinga) lakini falsafa hiyo ndio imefanya dini ya kikrsto kuwa ni ya amani na kimbilio la wengi. wewe unaonekana hujui kinachoendelea duniani juu ya extremism, badala ya kuhubiri kwa lengo la kuingiza waumini wengi kwenye dini yenu nyie mnawaua, what a stupid ideology!!!
 
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.

Sichukii dini na imani za watu lakini ninaangalia amani na mwelekeo wa tiafa hili kwa sasa. Kwa muda wote katia historia ya nchi yetu, serikali haijawahi kuwa na dini lakini raia wake wamepewa uhuru wa kuabudu dini wanazozitaka ili mradi wasivunje sheria.

Ni jambo lisilomithirika, kwa ccm kuiingiza nchi yetui kwenye dhahama hii wakat dunia nzima ikishuhudia tabu ambazo watu wanapata kutokana na kuwa na serikali zenye udini.

Ninaomba ndugu zetu wa ccm, acheni jambo hili. Hamjalifanyia utafiti ila mnafanya kinafiki ili kuwa impress wazanzibar wawape 2/3 na kutafuta kura kwa misingi ya udini. Msitupeleke huko. Mnafanya jambo la hatari kuliko yote mliyowahi kufanya.

Ninaomba suala la kadhi waachiwe waislam wenyewe walisimamie na kulitekelza kuliko serikali kujiingiza katika jambo la namna hii.

Ninatetemeka, nashindwa kuandika.

Wanaoitakia mema Tanzania, wakiwemo wana ccm, waisllam na watu wa dini zote, naomba tusimamie amani ya taifa hili ambayo sasa ccm imeama kuizika rasmi.

SITA UMEFANYA LINI RESEARCH HADI UKA VALIDATE KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI ITAONDOA KERO ZA MUUNGANO? UNA MAAGANO GANI NA DAMU YA WANTANZANIA?

Pole sana ila ukiandika punguza hisia, panga hoja vizuri kisha tujadili amani huvunjika kwa waislamu kulewa wanalotaka lakini wakipewa wakristo mabilioni ya pesa chini ya MOU amani inadumishwa sio?

Wacha propaganda!
 
Kwa nini mtake special treatment?that is a weakness!!!! why not chritisians? Tanzania kuna sheria ya kusajiri makanisa na misikiti je haitoshi? mpaka mtake utambuzi pekee? one of the hopeless religion ever in the world is islam. Revenge ndio chanzo cha ukatiri na mateso dhidi ya watu wengine, mkristo anakwambia samehe saba mara sabini( utasema mjinga) lakini falsafa hiyo ndio imefanya dini ya kikrsto kuwa ni ya amani na kimbilio la wengi. wewe unaonekana hujui kinachoendelea duniani juu ya extremism, badala ya kuhubiri kwa lengo la kuingiza waumini wengi kwenye dini yenu nyie mnawaua, what a stupid ideology!!!

Very stupid ideology indeed
 
Kilichofanya nchi hizo kuanzisha hizo mahakama ni udhaifu wa kisiasa, walitaka kuwawin waislamu lakini yanawatokea puani sasa. Sasa hivi nchi za ulaya zinajuta kukaribisha uislam uliosababisha kushamiri uitikadi kali. but they have to swallow their pride. Issue hapa ni kile kitendo cha kuimove serikali kuanzisha taasisi ya kidini wakati wenye dini wenyewe wapo!!! hivi nyie waislam mme kuwa dhaifu kiasi hicho? hamuwezi kuanzisha taasisi zenu za kuhandle mambo yenu mpaka bunge/serikali iwaaanzishie? Leo ukianzisha mahakama ya kadhi, kesho waislamu navyowafahamu wataingia mitaani kudai kutumika kwa sheria zote za kislamu ikiwemo ya kuua watakao badili dini, najua mtasema mahakama hiyo itadeal na civil matters only,lakini hiyo ni kwa muda tu waislamu watadai kwa nguvu mambo mengine na ndipo damu itaanza kumwagika hapo mwenye masikio na asikie jamani, hivi kuna asiyejua kinachoendelea Iraq? hawa ndugu zetu wako weak sana kiimani, ukatiri wameuweka mbele sana, ni watu wasio na maendeleo ya kifikra hata kidogo, kazi kulalamika lalamika tu ndio imani yao inawajenga hivyo, mfano wazenj walalamikaji sana, wabaguzi sana . sema siku hizi kwa sababu ya interlactions lakini anayejua historia vema atakwambia tabia zao, mfano mtoto anamuaga mama yake anasema "mama nakwenda pale kwa mkristo" ndio ilikuwa hivyo zamani, anayebisha abishe tu.

Umesema sahihi kabisa. Mimi ninashangaa viongozi wakuu wa nchi yetu kila siku wako nchi za nje. Hivi wanakwenda kufanya nini kama hata hawawezi kujifunza kutokana na makosa waliyofanya wenzao kundekeza uislam na sasa wkao katika dimbwi la majuto wakitafuta njia ya kutokea?

Dini hii (si tanzania tu) kila sehemu duniani kote imejaa umwagaji damu na migawanyiko isiyo suluhishika. Wakikosa kafir wa kuchinja, wanaanza kuchinjana wenyewe kwa wenyewe.Waangalieni washia, wasunni, ISIS na waislam wengine vile wanamalizana. Serikali yenye akili na uwezo wa kuona mbali ilitakiwa kujifunza kwa yanayotokea duniani na kuimarisha nafasi yake ya usimamizi wa mitafaruku yote nchini ikiwemo ya kidini.

Mahakama ya kadhi yenyewe hata waislam wenyewe hawaoni kama ni kitu cha manufaa kwao na wanaeleza wasiwasi wao ambao kila mtu mweye akili ni lazima awe nao hasa katika suala la amani na manufaa ya ile mahakama.

Sita. Lukuvi, Wasira, wanaamua kwa unafiki na ndiyo maana hata kwenye tume maalumu hawakuwemo kwa sababu hilli suala ni kubwa sana kwao. Ona hapa.

[h=2]
icon1.png
Barua ya Waislamu kwa Katibu Mkuu wa CCM Kupinga Mahakama ya Kadhi...[/h]
Wakuu,

Nimeiona hii barua ya Waislamu kupinga Mahakama ya Kadhi, imenukuliwa toka katika Kitabu cha MAHAKAMA YA KADHI NI NINI? kilichoandikwa na C. Simbaulanga, 2012 (uk. 53 - 58) kwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba.

Nitanukuu baadhi ya mambo muhimu kuhusu barua hiyo ya Ustadhi A. S. Mkambaku, Katibu Mkuu wa Khidmat Dwaat Lisiamiyat Centre Registered Trustees. Haijaandikwa tarehe lakini ukisoma utaona iliandikwa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010:

KHIDMAT DWAAT LISIAMIYAT CENTRE REGISTERED TRUSTEES
P. O. BOX 16106, MOB. 0713-290272, 0784-403020.

1. Uanzishaji wa Mahakama ya Kadhi utaleta madahara makubwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa vile Wakristo hawagawanyiki katika suala la kuipinga, lakini sisi Waislamu tunagawanyika katika suala hilo. Kwa taarifa yako napenda nikuhakikishie kuwa Waislamu wa Madhehebu ya AnsarSunna HAWAIKUBALI Mahakama hiyo kwa vile wanaelewa kuwa itakuwa chini ya BAKWATA.

2. Pia wanaelewa kuwa miongoni mwa mamlaka ya Kadhi ni kutangaza mwezi wa Ramadhani kufunga na kufungua na wao wanaye Amir wao ambaye hutangaza mwezi kwa kufuata mwezi unaoandama Saudia (Saud Arabia). Kwa maana hiyo katika nchi yenye Kadhi kutokea mtu mwingine nje ya Kadhi kutangaza mwezi ni kosa la jinai.

3. Kitu ambacho kitaleta madhara makubwa kuliko mafanikio ingawa AnsarSunna ni kundi dogo lakini wanaburuza kundi kubwa sana la Waislamu, kuliko Taasisi yoyote ya Kiislamu hapa Tanzania kwa vile ushawishi wao ni mkubwa sana katika jamii ya Kiislamu.

4. ANSAR SUNNA ndio wanaoendesha Shuura ya Maimam, GAZETI LA AN-NUUR, AL-HUDA, NASAHA na RADIO IMANI. Pia wana ushawishi mkubwa TIMES FM. Je, BAKWATA wana uwezo wa kupambana na vyombo hivyo?

5. Je, Serikali inaweza kukabidhi Mahakama ya Kadhi kwa wanaharakati wa Kiislamu? Nina hakika haiwezi kufanya jambo hilo na kama haitofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kupata hasara zifuatazo:
(a) Wakristo wote wanaweza kujitoa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga katika chama cha CHADEMA ambacho hakina Mahakama ya Kadhi katika Ilani yake.
(b) Waislamu wote walioko chini ya Shuura ya Maimamu ambayo ni Mpinzani Mkuu wa BAKWATA wataendelea kuipinga Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kuikumbatia BAKWATA na huku wakiendelea kuiunga mkono CUF, hivyo CCM itajikuta imebakia na Waislamu wanaoiunga mkono BAKWATA tu. Suala la wanaharakati kuipinga Mahakama ya Kadhi ni jambo rahisi sana kwa vile Mahakama ya Kadhi sio madai yao ya msingi.

6. Waislamu (wanaharakati) dai lao la msingi ni MGAWANYO SAWA WA MADARAKA. Hivyo Serikali inapounda Wizara, wao hutizama Baraza la Mawaziri, WAISLAMU NI WANGAPI NA WAKRISTO NI WANGAPI NDIO MAANA WANAIUNGA MKONO CUF, KWA VILE CUF IMEELEWA TATIZO LAO NA WAO WAKAJA NA KAULIMBIU YA HAKI SAWA KWA WOTE, yaani kwa Wakristo na Waislamu, wala Ilani ya Uchaguzi ya CUF haisemi lolote kuhusu Mahakama ya Kadhi WALA HAITOSEMA!!

7. Pia Waislamu wanaharakati wanaelewa kuwa Mahakama ya Kadhi haina manufaa yoyote kwa Waislamu, kwa vile Zanzibar ipo na WAISLAMU WA ZANZIBAR HAWANA MAENDELEO YOYOTE KUWAPITA WALE WA BARA, NA UISLAMU SI NDOA NA MIRATHI TU WALA MUNGU HASEMI "SOMETHING IS BETTER THAN NOTHING." Huu ni msemo wa Wazungu.

8. Mwenyezi Mungu anasema: INGIENI KATIKA UISLAMU WOTE NA MSIFE BALI MMEKUWA WAISLAMU KAMILI (Surat Baqarah ya 2 aya ya 208). Kwa hiyo mimi nikiwa kama Mwislamu nashauri kuwa Mahakama hiyo ISIWEPO kwani haitakuwa na manufaa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na italeta mgawanyiko miongoni mwa wanachama wako, chukulia mfano Zanzibar, Mufti na Kadhi wanavyopingwa na wanauamsho ambao wanaongozwa na Sheikh Farid hali wanauamsho ndio Shura ya Maimam na Shuura ya Maimam ndiyo Uamsho.

KWANINI MASHEIKH WA BAKWATA WANAITAKA?
9. Wanaelewa wanachokifanya, wao wanajua fika kuwa Serikali itakapoanzisha Mahakama ya Kadhi watakuwa wamepata AJIRA, kwa hiyo wao wanapigania maslahi yao tu, hawawezi kuangalia madhara yatakayokikumba Chama Cha Mapinduzi (CCM) na huku wakijua kuwa ushawishi wao ni mdogo katika Jamii ya Kiislamu na hawana hata Miundumbinu ya kuwashawishi Waislamu wote waweze kumkubali Mufti, na hali ya Mufti ameshaweka wazi milango kwa Taasisi zote za Kiislamu na Waislamu waje washirikiane naye.

10. Masheikhe hawa wanaelewa kuwa hakuna Hakimu anayehukumu makosa mawili tu, yaani NDOA na MIRATHI, ukiletewa mzinifu huruhusiwi kumhukumu, ukiletewa mwizi huruhusiwi, nk. lakini wanang'ang'ania hivyo hivyo kwa ajili ya mishahara tu na hiyo ni hatari.

11. Hujaribu kutoa hata mifano ya Serikali ya Uingereza kwamba mwaka 1920 iliweka Mahakama hizo, ukweli ni kwamba Serikali ya Uingereza haikuweka Mahakama za Kadhi tu bali za Maakida na Maliwali, lakini pia sababu ya kuziweka Mahakama hizo siyo kwa ajili ya kuutunza Uislamu au uliwali bali ilikuwa ni mbinu ya kuwatuliza Viongozi hao ili waweze kuwatawala bila vurugu kwani mkoloni aligundua kuwa ni watu wenye ushawishi katika jamii kwa hiyo ile ilikuwa ni mbinu ya kiutawala ili Masheikhe, Maliwali na Maakida wajione kuwa na wao ni sehemu ya Serikali ya Muingereza, kumbe ni watawaliwa, hivyo bado hoja hiyo haina msingi wowote wala haina maana kwamba Serikali ya Mkoloni ilikuwa nzuri kwa Waislamu kuliko hii ya CCM, na huku tukiambiwa kuwa Waislamu ndiyo walioanzisha harakati za kudai Uhuru, kama walikuwa wazuri kwa nini tuliwaondoa.

12. CCM inayo mambo mengi ya kujivunia kwa Waislamu kama vile kuwapatia Chuo Kikuu, na hilo ni jambo muhimu na la msingi kwa maendeleo ya Uislamu na Waislamu, kwa hiyo JAMBO HILO LA MAHAKAMA YA KADHI mnapaswa kuliangalia kwa umakini ijapokuwa limo ndani ya Ilani yenu. Lakini si kila jambo lililomo ndani ya Ilani litekelezwe, mengine yanaweza kushindikana kwa matatizo mbalimbali na hili ni tatizo kubwa KWANI LINAWEZA KUZAA MGOGORO WA KIDINI!!

WAKRISTO WANA HAKI YA KUPINGA MAHAKAMA YA KADHI
13. Sehemu kama Zanzibar ni rahisi kuweka Mahakama ya Kadhi kwa vile Waislamu kule ni asilimia 99.99 hali kama hiyo Wakristo kule ni kama hawapo wamemezwa kwa uchache wao. Lakini BARA NI PAGUMU kwa vile HUENDA WAKRISTO NI WENGI KULIKO WAISLAMU. KWA VILE WAISLAMU KWA UHAKIKA HUPATIKANA MIKOA ISIYOZIDI SITA AMBAYO NI DAR ES SALAAM, LINDI, TANGA, MTWARA, KIGOMA NA TABORA, pia katika mikoa hiyo siyo Wilaya zote, kwa mfano Mkoa wa Kigoma ni Ujiji na Kigoma Mjini tu.

14. Pamoja na hayo Masheikhe wa BAKWATA wanaoshikilia suala la kuwepo kwa Mahakama ya Kadhi bado hawajafahamu nini tatizo la Wakristo, hata hawakubali kuwepo kwa Mahakama hiyo, siyo kweli kabisa kwamba Wakristo hudhani Mahakama hizo zitawahukumu wao, la hasha na Masheikhe hutumia muda mwingi kuwaelimisha juu ya hilo, wakati hilo sio tatizo lao, na ni udhaifu wa kutokujua madai au matatizo ya mpinzani wako, ni nini tatizo la Wakristo ni hili:
(a) Mkumbuke kwamba mwaka 1993 hapa Tanzania kulikuwa na mgogoro wa bucha za nguruwe, mgogoro huo ulizaa harakati kubwa za Waislamu ambazo makao yake makuu yalikuwa msikiti wa Mtoro na kiongozi mkuu alikuwa marehemu Kasim bin Juma. Waislamu walipinga kuwepo Ubalozi wa Vatican hapa Tanzania na bado wanaendelea na msimamo huo hadi leo, wakati ubalozi huo hauendeshwi kwa Fedha za walipa kodi wa Tanzania bali ni Vatican yenyewe. JE, ITAKUWAJE LEO WAKRISTO WAKUBALI ZIWEPO MAHAKAMA AMBAZO ZITATOA AJIRA KWA WAISLAMU, KUANZIA MTAA, KATA, TARAFA, WILAYA, MKOA HADI TAIFA, TENA KWA FEDHA ZA WALIPA KODI WA TANZANIA WAKIWAMO NA WAO WAKRISTO? Hilo ndilo tatizo lao na hapo ndipo BAKWATA wanatakiwa wapatolee maelezo.
(b) Kwamba, mabilioni ya Watanzania yatakayowalipa Masheikhe kila mwezi nao wao watanufaikaje? Huo ndio mgogoro uliotengenezwa na Ilani yenu na ambao unaweza kuwagharimu katika uchaguzi ujao wa mwaka 2010 ENDAPO WAKRISTO WAKIIGA MFANO WA WAISLAMU WA MSIKITI WA MTORO walipoamua kukusanya Kadi za CCM mwaka 1993 ingawa jaribio hilo lilizimwa na Viongozi wa CCM.

HOJA ZA SHEIKH BASALEH
15. Sheikh Ali Basaleh ndiye ambaye amelielewa tatizo la Maaskofu ingawa ametoa mfano mzuri wa kuwatuliza katika kipeperushi chake cha Wito cha tarehe18/08/2006. Ijumaa kuwa kama mtu ana watoto wawili mmoja anakula sana na mwingine hali sana, Je, baba atamzuia yule anayekula sana ili alingane na yule asiyekula sana? Mfano wake ni mzuri lakini haufanani na tatizo lililopo kwani fedha za baba hazichangiwi na watoto wake, bali baba huzitafuta yeye mwenyewe kwa nguvu zake, LAKINI FEDHA ZA BABA SERIKALI ZINATOKANA NA KODI YA WAISLAMU NA WAKRISTO, HIVYO SERIKALI HAIPASWI KUTUMIA FEDHA NYINGI KWA DINI MOJA LAZIMA ITALETA MGOGORO NA NDIYO MAANA SISI WAISLAMU TUMEKUWA TUKIDAI HAKI SAWA!

16. Katibu Mkuu ni matumaini yangu kuwa hekima itatumika katika kulitatua tatizo hilo kwani ni rahisi kuziba ufa kuliko gharama za kujenga ukuta mwisho nakutakia kazi njema pamoja na afya njema.

WABILAH TAUFIQ,
ASANTE.
USTADH A. S. MKAMBAKU,
KATIBU MKUU.
 
Akhsante Mkuu, naona hiyo barua imekata mzizi wa fitina kbisa na kutuweka sawasawa sasa. Ninaona umetoa hoja nzito hata hawa waliokurupuka kuandika hoja hii iliyopakwa rangi nyeupe juu ya chuma chenye kutu wamepata aibu ya kutosha na sasa midomo kwisha fungwa na wanajaribu kufikiria watoke vipi.

Mimi sijawahi wachukukia Waislamu kama watu ila hadi kesho ninachukia sana sana tabia moja mbaya sana ambao wengi wao wanayo na kama ningejuwa inatibika wapi ningewashauri wakapate tiba mapema, tabia hiyo ni tabia ya 'UMIMI'.

Hata mgogoro wa leo chimbuko lake ni 'MIMI' Mzanzibari na hao Watanganyika. Umimi ukitoka kutakuwa na Neno sisi waTanzania.

Sasa kama kuna mtu anahisi hoja za kwenye hiyo barua hazina ukweli na maana yeyote na aanze kuzungumza kwa vigezo vya msingi zaidi,
"Tafadhali epuka kukurupuka"
 
Lipo tatizo kwa waislam kama yalivyo ktk ukiristo.
Haya ni mambo ya kawaida ktk nafsi za binaadam wote.
nililo liona ktk hiyo barua ni tofauti ya madhebu na zaidi muandishi amejikomba kwa ccm kwa maslahi ya dhehebu lake zaidi..
Ukiangalia gharama anazo zisema amejisahaulisha kama hapa tz kuna mahakama za Biashara je hajui kama sio wtz wote si wafanya biashara mbona serikali zinagharamia mahakama hizo? Pia kuna mahakama za Ardhi na za Nyumba je wtz wote wana nyumba na hizo pia zinagharamiwa na serikali.
Hao Ansar sunna ni watu wasio kubali lolote lisilo simamiwa na wao..
Naweza kusubutu kusema wamelipinga hilo kwa kujua serikali italipitishia kwa vibaraka wao Bakwata na wao na Bakwata ni paka na chui.kama ilivyo kwa Rc na wana maombi.
 
Wewe sahim 1 ninaanza kuwa na wasiwasi na wewe kbsa coz unaongea ----- mtupu
 
Last edited by a moderator:
mahakama ya kadhi haiwahusu wakristo na tunachotaka waislam itambuliwe kwenye katiba kama zinavyotambuliwa mahakama zingine kama za ardhi,biashara,kazi nk pia kama taasisi na swala la kugharamia gharama ni jambo jingine na ni jukumu letu tutaju sisi pa kuzipata. lakini mbona nyinyi wakristo munapewa pesa kupitia mkataba wa MOU uliosainiwa na lowasa mwaka 1992 ?? sisi hatujapewa mkataba huo mpaka leo?
Umuhimu wa kutambuliwa kwa mahakama ya kadhi ni nyingi ila nitataja moja kwa kuwa leo kdhi kashateuliwa na muft kupiti bakwata laki hatambuliki
endapo kwa mfano imetokea kadhi ametoa hukumu kati ya JUMA na HASSAN kwamba mali hii ni ya JUMA kwa mujibu wa mafundisho.lakini HASSAN hataki kukabidhi utatumia njia gani kumlazimisha HASSAN kutoa mali kumpa JUMA wakati kadhi hatambuliki kisheria??
na mambo hayo yanatokea leo kesi nyingi zinazohusu kadhi zimepelekwa bakwata na hukumu inatoka lakini inakuwa tabu kutekelezeka
 
Back
Top Bottom