Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Tatizo lako ni ushabiki na husda, huna la ziada. unataka kuishawishi jamii wa watanzania hasa wakristo kuwa mahakama ya kadhi italeta vita!? huenda ww ndio hujafanya utafiti juu ya hili. Znz, Kenya, Uganda, SA na hata Uingereza kutaja kwa uchache zinamahakama ya kadhi. je umeshawahi sikia kuwa mahakama hizo zimesababisha vita? mahakama ni chombo cha haki na kuwekewa utaratibu maalum kwa uendeshaji wake. By the way hiyo mahakama ww haitakuhusu sasa jasho la nn? hata hvy wewe endelea tu kutetemeka na pengine jiny...kabisa, lakini wapaswa kujua kuwa watu wa aina yako ndio watakao iingiza nchi kwny shida na si mahakama.
Sasa kama mahakama ya kadhi itahusu baadhi ya watu,kwa nini iwekwe kwenye katiba ya nchi? Katiba ni ya watu wote,isitubague. Halafu sisi sio wakenya,siyo waganda wala siyo waingereza na tabia zetu na wao zinatofautiana sana.Usitulinganishe na watu wasiotuhusu.
 
Acha kudanganya watu wewe mgalatia,,,kwa mfano katiba ikiruhusu haki za mashoga kama za vatcan utasema na wewe ina kuhusu hata kama sio Shoga?

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Na Kama aya yenye we inasema "Madhehebu ikiwemo Waislamu wana Uhuru wa kuanzisha mahakama ya kadhi Kwa mujibu wa Imani Yao na wataiendesha na kugharamia wenyewe" hapo kutakuwa na nongwa gani... Don't judge the book by its cover .... Wait and see the content, it is the content of the article that will matter!

Ndugu content za mahama za kadhi zipo wazi kwenye Quran sasa content zipi zisubiriwe. Hii kitu ikiwekwa kwenye katiba ya nchi kama hii yenye mchanganyiko wa imani uliopo ni potential bomu la hatari.
 
ila kweli ukristo mzuri maana wanaruhusu kuoana jinsia moja na kupata watoto kingine wako kwenye mchakato mapandre waoe la mapandre likifaulu la masister watu wanataka dini ambayo inabadirika kama kinyonga
 
Kama Ukiristu ni mchafu/ushetani hivyo, kwanini basi mnataka pesa za watu hao wachafu/shetani zigharamikie kuendesha mambo yenu MATAKATIFU?!
 
Tunatumia kwa kujengea vyoo vya miskiti na vyoo vya madrasa. Usishange pesa chafu tunatumia kwa uchafu.
 
Kama Ukiristu ni mchafu/ushetani hivyo, kwanini basi mnataka pesa za watu hao wachafu/shetani zigharamikie kuendesha mambo yenu MATAKATIFU?!

hapo sasa! Mtume wao mwamedi katuita KAFIRI na NAJISI kama kinyesi, leo wanataka kutulazimisha
 
Mkuu umenikumbusha huku kwetu uswazi, mbuguma ikiminywa sikio na kuulizwa kiti unataka nini? Sema! Utasikia shetani wangu anataka nianze kuswali msikiti! shetani? shehetan? akuhimize kuswali kweli? Ili iweje? Wakiambiwa msikitini ni ibada ya shehetani mnawaka! teh teh teheeee!

ha ha haaaa, dawa hapo ni nguruwe tu. Majini yanaogopa jina la YESU na pia ukila nguruwe tu yanakimbia
 
Hivi ndivyo taifa linavyoangamia watu wakipewa nafasi ya kutoa maoni yao wanatapika tu badala ya kuandika vitu vya maana poleni sana, inshort hata haki ya mtu mmoja ni haki ukipinga leo utaitoa kesho
 
CCM wasipoangalia wataiangamiza Tanzania muda si mrefu.
 
Acha kudanganya watu wewe mgalatia,,,kwa mfano katiba ikiruhusu haki za mashoga kama za vatcan utasema na wewe ina kuhusu hata kama sio Shoga?

Sent from my iPad Air using JamiiForums
Siwezi kukubali ushoga uwepo kwenye katiba. Nitakataa kama ninavyokataa mahakama ya kadhi kuwepo kwenye katiba ya nchi.Inaelekea wewe ni mdini sana na watu wa jinsi yako ni hatari sana katika nchi.Hatuwezi kwenda huko unakotaka twende.
 
Inanishangaza sana kuona watu mmnaacha mada ya msingi na kuanza kushambuliana kwa imani zenu jadilini hoja matusi eala kejeli hazisaidii ni vyema tukashindana kwa hoja manufaa na faida ya mahakama ya kadhi kwa watanzania wote au hasara na madhara yake
 
Kama Mahakama ya Kadhi ikitambulika Kisheria basi mahakama za Serikali zifungwe, kwani zitakuwa na kazi gani? Au kuwahukumu Wakristo tu.
 
Kama ntakua sijaelewa kunamchangiaj alietangulia alisema ziko hadi mahakama za jeshi..nakatiba inazitambua.sijui hojayako niipi ndugu,.vinginevyo utakua nachuki na uislamu na wanaoihitaji mahakama hiyo.
 
Siwezi kukubali ushoga uwepo kwenye katiba. Nitakataa kama ninavyokataa mahakama ya kadhi kuwepo kwenye katiba ya nchi.Inaelekea wewe ni mdini sana na watu wa jinsi yako ni hatari sana katika nchi.Hatuwezi kwenda huko unakotaka twende.
sasa ulivyoongea hapo mwanzo ulikua una maana gani? Umeelewa mfano niliokupa lkn?
 
Kama ntakua sijaelewa kunamchangiaj alietangulia alisema ziko hadi mahakama za jeshi..nakatiba inazitambua.sijui hojayako niipi ndugu,.vinginevyo utakua nachuki na uislamu na wanaoihitaji mahakama hiyo.
Kwani imeandikwa kwenye Quran kuwa hizo mahakama zenu lazima ziwe kwenye Katiba?
 
Very sad...japo itahusika na waislamu tu na mambo ya kiislamu-hasa yenye msingi wa ndoa, lakini linapaswa liangaliwe kwa umakini...JK ni tatizo!
 
Back
Top Bottom