Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Naziona hasira na hofu zawatoto wa michepuko juu ya mahakama ya kadhi..mi sioni ubaya wa hii mahakama kama kweli itadeal na mambo hayo matatu tuu.yaani ndoa,mirathi nann sijui....ila habari zaku pigana mawe,.kukatana mikono tuwaachie waarabu jamani😎😎
kwani mende anaona ubaya kukaa chooni na kulabua mavi!
 
Hivi huyu Askofu ni wa Kanisa Gani ? Ebu tusaidieni yuko Kamati namba ngapi?

Huyu mzee na wasiwasi Imani imekwisha mshinda na Tamaa ya Mali imemnyemelea na Shatani kamkamata sawa sawa!

Jina lake kamili anaitwa Donald Mtetemela alikuwa Askofu mkuu wa kanisa anglikana Tanzania, kama naye atashiriki uharamia huu kwa sababu tu ya vipande 300000 x 90 hakika laana ya Mungu itashuka juu yake!
 
Last edited by a moderator:
haa haa mkuu kila mwamba ngoma huvutia kwake, wakristo wanajipendelea, vivyovivyo waislamu wanajipendelea. Kiukweli bunge hilo uchwara limegusa maslahi ya wagalatia, kama ccm inataka kurudia ya mwaka 2010 au zaidi mwakani iendelee na mchezo huo, haya ni madhara ya kukiuka rasimu ya tume. Bunge la sitta limejigeuza tume, limeanza kupokea maoni mapya, taifa litaparaganyika kwa ulevi wao huo. Hapo kitakachotokea ni uislamu vs ukristo, na upagani. Hakuna cha ccm wala ukawa.

Hahahahaahh...nchi hii bana ni full drama duh!!..bunge la ccm wamechungulia wakaona kuna gap wanataka kutokea hapo mkuu..
 
Tatizo sijajua hawa magalatia wanachoogopa Mahakama ya kadhi ni nini? Nchi ingekua inaongzwa kwa sharia hapo kweli! Uganda makafiri wenzenu wapo wengi tu lakini hawana shida


Sent from my iPad Air using JamiiForums

hamia Ugandaa
 
Lakini si mlipita mitaani kutaka maoni ya wananchi? Sasa wananchi wa kiisalamu wanataka Mahakama ya Kadhi, hayo ni maoni yao, kwanini hamtaki kuyaheshimu?. Laana ya Udini ndio inaitafuna rasimu ya Katiba ya Joseph Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi.
Pole pole kitaeleweka tu!

MZIMU wewe, mi naongea na binadamu
 
Last edited by a moderator:


Unatetemeka hadi unashindwa kuandika.Ulshazoea vya kunyonga, vya kuchinja huwezi. Ulidhni dini Tanzania ni ukristo tu. Mabilioni serikali inayotoa kwa makanisa hujaona kama serikali ina dini, ila mahakama ya kadhi ndio imekuma. meza sumu!!!

si na nyie myachukue? Siku hizi JF ina vichaa wengi sana. KWA AKILI YA MADRASA unafikiri yanatoka bure?

Daktari mmoja anafundishwa kwa 35 mil wakati yeye analipa 15mil, zingine atoe nani?

Nyie mnasaidiwa tende,misikiti, haluwa na maspika ya miskiti tu
 
Mtazamo wangu siyo kupinga mahakama hii kuwapo au kutokuwapo issue hapa kama kila dini ikawa na mahakama inayotambulika kikatiba hii itamaanisha kuwa na mamlaka na nguvu za kidola hapo ndipo mashaka yangu yalipo sasa mahakama ya kawaida itakuwa na kazi gani?
 
Zanzibar ipo,Kenya waislam wachache ipo,UK ipo Afrika kusini ipo,nchi nyingi tu yan,Wakoloni walioleta Ukristo waliruhusu mpaka miaaka ya 1967 ndo Mwalim akaitoa, si mpya ni swala la kurudisha tu.

katika nchi zote hizo ulizotaja, ukweli unao mwenyewe. Katiba ya kenya ninayo, eleza mahakama ya kadhi iko ibara gani? Pia ni fact kwamba hakuna jinsi muislamu anaweza kuwa rais ktk nchi hizo. Hapa kwetu hatuna ubaguzi ni vizuri lakini pia ni taabu maana ukiwa na mtu kama huyu tuliyenaye, waislamu na hasa wale ambao hawana shule ya kutosha, wanadeka na kulindwa bila sababu.

Watamwaga tindikali, watachoma makanisa, watakataa wakristu ktk vyuo vyao, n.k. Bado mkubwa atatoa meno nje!
 
Uliwah kushuhudia mgogoro wamirathi ulikuwa na aina hiyo yandoa?.

Nishuhudie wapi wakati hatujawahi kuwa na mahakama ya kizamani kama hiyo! Leteni mahakama yenu muone kama watu hawatatoa thumni.

Hii siyo karne ya kuniambia nitumie mahakama ya kadhi na siko tayari kuruhusu mtu aliyegoma kuelimika eti aifuate. Munaoitaka hatuna muda wa kwaelimisha, lakini hatuwapi muda wa kuipata.
 
Enyi watengeneza katiba analieni msije mkasilimisha nchi
 
Akutukanae hakuchagulii tusi,lakini huyu Tabby kautusi uislamu kwa maneno yake haya Iraq, Iran, Syria kabla hawajaingiza ushetani huu kwenye seriakli zilikuwa nchi nzuri sana. Watoto walienda shule wakicheza kwenye mwanga wa mmatumaini. Wazazi waliona kesho ya watoto wao kupitia nuru ya jua la jioni. Usiku walilala usingizi mwema wakiota ndoto za faraja na uzima.

Baada ya kuruhusu unafiki na kuingiza masuala ya dini hii kwenye serikali, ndipo ukawa mwanzo wa laana inayofanya anga la nchi za kiarabu ligubikwe na giza lililojaa miavuli myeusi ."
Maneno hayo yanaonesha jinsi ulivymfinyu wa kubaini uhsalisi wa mambo duniani.vita ya Libiya,Iraq,Siria hazikuletwa na serikali kuanzisha mahakama za kadhi.Bali kutokuwepo kwake. Huu ni uzushi wa chuki zako binafsi kwa UISLAMU
 
Wewe bei gani?..😛😛😛

Kwi kwi kwi....usiogope ukubwa uliza bei!!!!! na unaweza kupunguziwa bei haigandi!!! Muhimu ni kuwa: bei ndogo na huduma/ubora unapungua....nakadhalika.
 
nilitaka kukufinya sikio kukutoa majini
Mkuu umenikumbusha huku kwetu uswazi, mbuguma ikiminywa sikio na kuulizwa kiti unataka nini? Sema! Utasikia shetani wangu anataka nianze kuswali msikiti! shetani? shehetan? akuhimize kuswali kweli? Ili iweje? Wakiambiwa msikitini ni ibada ya shehetani mnawaka! teh teh teheeee!
 
Back
Top Bottom