chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Hiyo ni maana yako ila siyo maana yake kama ilivyoelezwa.
Kumbe kuna maana yake amabayo hata ww , huijui sasa unatetea usichofahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni maana yako ila siyo maana yake kama ilivyoelezwa.
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.
Sichukii dini na imani za watu lakini ninaangalia amani na mwelekeo wa tiafa hili kwa sasa. Kwa muda wote katia historia ya nchi yetu, serikali haijawahi kuwa na dini lakini raia wake wamepewa uhuru wa kuabudu dini wanazozitaka ili mradi wasivunje sheria.
Ni jambo lisilomithirika, kwa ccm kuiingiza nchi yetui kwenye dhahama hii wakat dunia nzima ikishuhudia tabu ambazo watu wanapata kutokana na kuwa na serikali zenye udini.
Ninaomba ndugu zetu wa ccm, acheni jambo hili. Hamjalifanyia utafiti ila mnafanya kinafiki ili kuwa impress wazanzibar wawape 2/3 na kutafuta kura kwa misingi ya udini. Msitupeleke huko. Mnafanya jambo la hatari kuliko yote mliyowahi kufanya.
Ninaomba suala la kadhi waachiwe waislam wenyewe walisimamie na kulitekelza kuliko serikali kujiingiza katika jambo la namna hii.
Ninatetemeka, nashindwa kuandika.
Wanaoitakia mema Tanzania, wakiwemo wana ccm, waisllam na watu wa dini zote, naomba tusimamie amani ya taifa hili ambayo sasa ccm imeama kuizika rasmi.
SITA UMEFANYA LINI RESEARCH HADI UKA VALIDATE KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI ITAONDOA KERO ZA MUUNGANO? UNA MAAGANO GANI NA DAMU YA WANTANZANIA?
Tatizo lako ni ushabiki na husda, huna la ziada. unataka kuishawishi jamii wa watanzania hasa wakristo kuwa mahakama ya kadhi italeta vita!? huenda ww ndio hujafanya utafiti juu ya hili. Znz, Kenya, Uganda, SA na hata Uingereza kutaja kwa uchache zinamahakama ya kadhi. je umeshawahi sikia kuwa mahakama hizo zimesababisha vita? mahakama ni chombo cha haki na kuwekewa utaratibu maalum kwa uendeshaji wake. By the way hiyo mahakama ww haitakuhusu sasa jasho la nn? hata hvy wewe endelea tu kutetemeka na pengine jiny...kabisa, lakini wapaswa kujua kuwa watu wa aina yako ndio watakao iingiza nchi kwny shida na si mahakama.

daaaaa sasa tuanze kutafuta nchi za kukimbilia
Wewe suala la mahakama ya kadhi linakuhusu nini au unasukumwa na chuki zako,eti unatetemeka! mbona suala la MOU hukutetemeka?
Acha udini na unafiki mtoa mada.eti unatetemeka kufa kabisa kafiri wewe.Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.
Sichukii dini na imani za watu lakini ninaangalia amani na mwelekeo wa tiafa hili kwa sasa. Kwa muda wote katia historia ya nchi yetu, serikali haijawahi kuwa na dini lakini raia wake wamepewa uhuru wa kuabudu dini wanazozitaka ili mradi wasivunje sheria.
Ni jambo lisilomithirika, kwa ccm kuiingiza nchi yetui kwenye dhahama hii wakat dunia nzima ikishuhudia tabu ambazo watu wanapata kutokana na kuwa na serikali zenye udini.
Ninaomba ndugu zetu wa ccm, acheni jambo hili. Hamjalifanyia utafiti ila mnafanya kinafiki ili kuwa impress wazanzibar wawape 2/3 na kutafuta kura kwa misingi ya udini. Msitupeleke huko. Mnafanya jambo la hatari kuliko yote mliyowahi kufanya.
Ninaomba suala la kadhi waachiwe waislam wenyewe walisimamie na kulitekelza kuliko serikali kujiingiza katika jambo la namna hii.
Ninatetemeka, nashindwa kuandika.
Wanaoitakia mema Tanzania, wakiwemo wana ccm, waisllam na watu wa dini zote, naomba tusimamie amani ya taifa hili ambayo sasa ccm imeama kuizika rasmi.
SITA UMEFANYA LINI RESEARCH HADI UKA VALIDATE KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI ITAONDOA KERO ZA MUUNGANO? UNA MAAGANO GANI NA DAMU YA WANTANZANIA?
Hakuna utata hapo wala handling techniques, nchi haina dini, mjadala wa nini? Kesho watadai kuwa kufuga nguruwe iwekwe kwenye katiba kuwa ni haramu and therefore marufuku! Wakristo watadai kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja ni haramu iwekwe kwenye katiba, can you see CCM inatupeleka wapi. Nakuapia hayo yatakuja kama tukiendekeza haya mambo!
Kwa sababu halinihusu na mimi ni Mtanzania, maana yake halina maslahi kwa taifa na ndiyo sababu halipaswi kuweno kwenye katiba ya taifa. Tena sina muda wa kuongea na wewe. Pita uende uendako lakini hakuna katiba yenye kadhi itakayopita. Labda isipigiwe kura na Watanzania. Subiri uone.
Hakuna utata hapo wala handling techniques, nchi haina dini, mjadala wa nini? Kesho watadai kuwa kufuga nguruwe iwekwe kwenye katiba kuwa ni haramu and therefore marufuku! Wakristo watadai kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja ni haramu iwekwe kwenye katiba, can you see CCM inatupeleka wapi. Nakuapia hayo yatakuja kama tukiendekeza haya mambo!
Hicho kitu hakipo huyu mleta mada kaamua kupotosha tu kwa matakwa yake anayojua yeye make hakuna sehemu suala hili limewekwa kwenye katiba badala yake limewekwa kando wakati busara zikitafutwa namna ya kulihendo.
Tatizo hamzijui kaz za hiyo mahakama. Wala hamhusiki huko
Tatizo lako ni ushabiki na husda, huna la ziada. unataka kuishawishi jamii wa watanzania hasa wakristo kuwa mahakama ya kadhi italeta vita!? huenda ww ndio hujafanya utafiti juu ya hili. Znz, Kenya, Uganda, SA na hata Uingereza kutaja kwa uchache zinamahakama ya kadhi. je umeshawahi sikia kuwa mahakama hizo zimesababisha vita? mahakama ni chombo cha haki na kuwekewa utaratibu maalum kwa uendeshaji wake. By the way hiyo mahakama ww haitakuhusu sasa jasho la nn? hata hvy wewe endelea tu kutetemeka na pengine jiny...kabisa, lakini wapaswa kujua kuwa watu wa aina yako ndio watakao iingiza nchi kwny shida na si mahakama.
Uko sahihi, kwani nani kawakataza. Kwa nini kwenye katiba? Naomba jibuKuweka mahkama ya kadh cyo tatzo Kwan hata Uingereza ni Relogion states(anglican) lkn kuna mahkama ya kadh na hii.mahkama weng mnapotosha kwa sbb ya kutoelewa au manufaa yenu mahkama ya kadh ktk nch icyo ya kidin inahusika maeneo 3 NDOA,TALAKA na MIRATHI na ji kwa waislam tu wengne nenden kwenye hzo mahkama za kawaida kwa waislam hayo mambo.yote ni ibada mbona hamlalamik kwanin waislam wanafunga? au wanaswal ijumaa yote hayo ni utaratibu wa din yao