Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania


Wewe suala la mahakama ya kadhi linakuhusu nini au unasukumwa na chuki zako,eti unatetemeka! mbona suala la MOU hukutetemeka?
 

Sitakujibu maana umeanza na matusi. nasubiri wenye busara.
 

Mkuu Masterproud umesema kweli kuna watu hapa ushabiki unawasumbua wanatazama mambo kwa jicho moja kama fundi saa wana chuki sanaaa.

Hilo la kusema ohh! vita sijui watu watakatwa mikono hizo ni sababu za kipuuzi wala hazina mashiko.
 
Last edited by a moderator:
daaaaa sasa tuanze kutafuta nchi za kukimbilia

utafute nchi ya kumbilia kwa sababu ya kusikia kuwa inapendekezwa uwepo wa mahakama ya kadhi? Me naona unatania ila ni utani mbaya sana. Siku nyingi nilikuwa nakuona unaakili kumbe.....mh!
 
Kwa sababu halinihusu na mimi ni Mtanzania, maana yake halina maslahi kwa taifa na ndiyo sababu halipaswi kuweno kwenye katiba ya taifa. Tena sina muda wa kuongea na wewe. Pita uende uendako lakini hakuna katiba yenye kadhi itakayopita. Labda isipigiwe kura na Watanzania. Subiri uone.

Wewe suala la mahakama ya kadhi linakuhusu nini au unasukumwa na chuki zako,eti unatetemeka! mbona suala la MOU hukutetemeka?
 
Si baadhi ya viongozi wa dini walibariki CCM waendelee na katiba?
 
Acha udini na unafiki mtoa mada.eti unatetemeka kufa kabisa kafiri wewe.
 

Tatizo hamzijui kaz za hiyo mahakama. Wala hamhusiki huko
 

Kwa hiyo ili suala lionekane linamaslahi na watanzania ni lazima liwe na maslahi kwako? je hao linalowahusu hilo suala si watanzania. By the way, neno lako sio sheria ambayo hata nayo sometimes huvunjwa
 
Hupaswi kuwa na muda na mimi wala yyt yuke bali wapaswa kuwa na muda na hoja zilizotolewa. mimi mf. nilipoeleza hata sikuwa na haja na nani kaandika bali nini kimeandikwa
 
Hupaswi kuwa na muda na mimi wala yyt yule bali wapaswa kuwa na muda na hoja zilizotolewa. mimi mf. nilipoeleza hata sikuwa na haja na nani kaandika bali nini kimeandikwa
 

Tatizo hamzijui kaz za hiyo mahakama. Wala hamhusiki huko
 
Hicho kitu hakipo huyu mleta mada kaamua kupotosha tu kwa matakwa yake anayojua yeye make hakuna sehemu suala hili limewekwa kwenye katiba badala yake limewekwa kando wakati busara zikitafutwa namna ya kulihendo.

Usikatae, kwa mwendo wa CCM kuwaghiribu waislamu wapitishe katiba yao, they will do that maadamu wanajua kuwa waislamu tangu zamani wanataka mahakama ya kadhi.
 
Kuweka mahkama ya kadh cyo tatzo Kwan hata Uingereza ni Relogion states(anglican) lkn kuna mahkama ya kadh na hii.mahkama weng mnapotosha kwa sbb ya kutoelewa au manufaa yenu mahkama ya kadh ktk nch icyo ya kidin inahusika maeneo 3 NDOA,TALAKA na MIRATHI na ji kwa waislam tu wengne nenden kwenye hzo mahkama za kawaida kwa waislam hayo mambo.yote ni ibada mbona hamlalamik kwanin waislam wanafunga? au wanaswal ijumaa yote hayo ni utaratibu wa din yao
 
Tatizo hamzijui kaz za hiyo mahakama. Wala hamhusiki huko

Tunajua sana kazi ya hiyo mahakama, tumesoma we are not lay man. Lawyers, Judges , magistrates, priests, bishops, sheikhs etc- Humu JF kuna wasomi usiowadhania.
 

WAKATHOLIKI HATUITAKI MAHAKAMA YA KADHI Kabisa.
 
Uko sahihi, kwani nani kawakataza. Kwa nini kwenye katiba? Naomba jibu
 
Wakatholiki Hatutakubali Kodi Zetu Zigharamie Mahakama Ya Waislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…