Waislam tulisha jitambua na hatudanganyiki.
Kwa sababu halinihusu na mimi ni Mtanzania, maana yake halina maslahi kwa taifa na ndiyo sababu halipaswi kuweno kwenye katiba ya taifa. Tena sina muda wa kuongea na wewe. Pita uende uendako lakini hakuna katiba yenye kadhi itakayopita. Labda isipigiwe kura na Watanzania. Subiri uone.
Wakatholiki Hatutakubali Kodi Zetu Zigharamie Mahakama Ya Waislamu.
Kikwete anataka
tumkumbuke kwa lipi sasa?yaani upuuzi wa mahakama ya kadhi ndani ya
katiba!!nitaandamana peke yangu pumbavu ccm
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hata mimi sina muda wa kujibishana na galatians kama wewe tukutane kwenye box la kura 2015 .
Tatizo hamzijui kaz za hiyo mahakama. Wala hamhusiki huko
Yapo mambo ambayo uislamu unastahili kuyatafuta kwa nguvu zote ktk nchi hii badala ya upuuzi wa mahakama. Nini tulichokosa ktk mahakama ya kawaida? Siwezi kuwaza kama mufti au sheikh wa msikiti fulani. Mimi nimeenda shule na nastahili kuwa ktk level ya elimu yangu.
Uislamu hauna shule ya maana ktk nchi hii, hauna hospitali ya kujivunia, hakuna chuo kikuu cha kujivunia, halafu tunahangaikia mahakama itakolazimisha nitoe thumni. Sawa! Lakini pia itakayotoa thumni kwa dada yangu. it is stupid and rubbish!
Tatizo hamzijui kaz za hiyo mahakama. Wala hamhusiki huko
haa haa na nyie kwa mfumo huu k, nadhani mapambio yote kanisani itakuwa ni hapana kwa katiba mpya.Wakatholiki Hatutakubali Kodi Zetu Zigharamie Mahakama Ya Waislamu. PAMOJA NA KWAMBA MTANI ANATEKELEZA AHADI ALIYOWAAHIDI WAISLAM WAKATI WA KAMPENI KUWA WAKIMCHAGUA ATAWALETEA MAHAKAMA YA KADHI KWA KUTUMIA KODI ZETU, WAKATHOLIKI TUMESHASTUKA, TUKO MACHO NA IMARA, MR 6 LETEN TU KAZI YETU ITAKUWA HAPANA.
haa haa, mkuu chezea mfumo wewe? Tatizo la ccm ubaguzi ni kawaida yao, hata kwenye uislamu, serikali yao huitambua bakwata tu na sio taasisi zingine za kiislamu!Wewe suala la mahakama ya kadhi linakuhusu nini au unasukumwa na chuki zako,eti unatetemeka! mbona suala la MOU hukutetemeka?