MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
Endelea kuamini huo uharo ulioandika hapo juu ukadhani muislamu wa kipindi cha mchonga ndie huyu wa sasa hivi.
Eti hatuna shule wala hospital mawazo ya kipuuzi kabisa ngoja nikuache na ujinga wako.
Sema ili tukuone ktk enzi ya Kikwete ulivyoweza kuondoa ujinga huo. Umejenga chuo chochote? Umejenga hospitali yoyote. Uongozi tulionao ni hoi! BAKWATA IS DEAD. Wengine ndo hao wanauza viwanja chang'ombe very prime area! Halafu unakuja unasema sijui mahakama, inisaidie nini nyumbani kwangu!
you seem to be deadwood of lowest quality. Mwaka huu wa 2014 unahitaji mahakama nje ya mfumo wa serikali? Shiiiit!