Endelea kuamini huo uharo ulioandika hapo juu ukadhani muislamu wa kipindi cha mchonga ndie huyu wa sasa hivi.
Eti hatuna shule wala hospital mawazo ya kipuuzi kabisa ngoja nikuache na ujinga wako.
Tatizo lako ni ushabiki na husda, huna la ziada. unataka kuishawishi jamii wa watanzania hasa wakristo kuwa mahakama ya kadhi italeta vita!? huenda ww ndio hujafanya utafiti juu ya hili. Znz, Kenya, Uganda, SA na hata Uingereza kutaja kwa uchache zinamahakama ya kadhi. je umeshawahi sikia kuwa mahakama hizo zimesababisha vita? mahakama ni chombo cha haki na kuwekewa utaratibu maalum kwa uendeshaji wake. By the way hiyo mahakama ww haitakuhusu sasa jasho la nn? hata hvy wewe endelea tu kutetemeka na pengine jiny...kabisa, lakini wapaswa kujua kuwa watu wa aina yako ndio watakao iingiza nchi kwny shida na si mahakama.
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.
Sichukii dini na imani za watu lakini ninaangalia amani na mwelekeo wa tiafa hili kwa sasa. Kwa muda wote katia historia ya nchi yetu, serikali haijawahi kuwa na dini lakini raia wake wamepewa uhuru wa kuabudu dini wanazozitaka ili mradi wasivunje sheria.
Ni jambo lisilomithirika, kwa ccm kuiingiza nchi yetui kwenye dhahama hii wakat dunia nzima ikishuhudia tabu ambazo watu wanapata kutokana na kuwa na serikali zenye udini.
Ninaomba ndugu zetu wa ccm, acheni jambo hili. Hamjalifanyia utafiti ila mnafanya kinafiki ili kuwa impress wazanzibar wawape 2/3 na kutafuta kura kwa misingi ya udini. Msitupeleke huko. Mnafanya jambo la hatari kuliko yote mliyowahi kufanya.
Ninaomba suala la kadhi waachiwe waislam wenyewe walisimamie na kulitekelza kuliko serikali kujiingiza katika jambo la namna hii.
Ninatetemeka, nashindwa kuandika.
Wanaoitakia mema Tanzania, wakiwemo wana ccm, waisllam na watu wa dini zote, naomba tusimamie amani ya taifa hili ambayo sasa ccm imeama kuizika rasmi.
SITA UMEFANYA LINI RESEARCH HADI UKA VALIDATE KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI ITAONDOA KERO ZA MUUNGANO? UNA MAAGANO GANI NA DAMU YA WANTANZANIA?
usitushirikishe kwenye ibada yenu tena kwa kodi zetu, never. NATHUBUTU KUSEMA NI UPUUZI
mkuu usiumize kichwa kwa jambo hilo ccm yenyewe inajipalia makaa kwenye moto mkali unafikiri ccm wote watakubali hiyo mahakama ya kadhi
Kwani hizi mahakama za sasa mbona zinahukumu kesi za waislam zinahusu talaka na urithi mbona haulalamiki juu ya kodi yako unayotoa? by the way hata waislam nao wanalipa kodi sio wakristo , kwa hiyo tunachotaka hapa ni kwamba ile kodi inayotolewa na waislam itumike kugharamia maswala hayo na nyie kodi yenu mnayotoa itashugulika na mabo ya ujambazi na mengineyo shida iko wapi?.
Alafu watakaohusika na mahakama hiyo ni waislam pekee yao wewe mkristo hautoguswa shida yako iko wapi mzee?
CCm ni magaidi, majambazi, watumia rushwa na kila aina ya hila. Wanaweza kulazimisha hata yasiyowezekana. Kama wamediriki kuchakachua katiba na mchakato wake, wanaweza wakadictate kwamba hicho wanachokifanya ndio iwe katiba. Tunakwenda wapi na watoto wetu?
Ee Mungu, Tanzania sasa siyo nchi ya kuwekeza tena. Hapakaliki hapa.
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.
Sichukii dini na imani za watu lakini ninaangalia amani na mwelekeo wa tiafa hili kwa sasa. Kwa muda wote katia historia ya nchi yetu, serikali haijawahi kuwa na dini lakini raia wake wamepewa uhuru wa kuabudu dini wanazozitaka ili mradi wasivunje sheria.
Ni jambo lisilomithirika, kwa ccm kuiingiza nchi yetui kwenye dhahama hii wakat dunia nzima ikishuhudia tabu ambazo watu wanapata kutokana na kuwa na serikali zenye udini.
Ninaomba ndugu zetu wa ccm, acheni jambo hili. Hamjalifanyia utafiti ila mnafanya kinafiki ili kuwa impress wazanzibar wawape 2/3 na kutafuta kura kwa misingi ya udini. Msitupeleke huko. Mnafanya jambo la hatari kuliko yote mliyowahi kufanya.
Ninaomba suala la kadhi waachiwe waislam wenyewe walisimamie na kulitekelza kuliko serikali kujiingiza katika jambo la namna hii.
Ninatetemeka, nashindwa kuandika.
Wanaoitakia mema Tanzania, wakiwemo wana ccm, waisllam na watu wa dini zote, naomba tusimamie amani ya taifa hili ambayo sasa ccm imeama kuizika rasmi.
SITA UMEFANYA LINI RESEARCH HADI UKA VALIDATE KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI ITAONDOA KERO ZA MUUNGANO? UNA MAAGANO GANI NA DAMU YA WANTANZANIA?
Kwani kuna haki gani ambazo tumewahi kuzikosa kwa kukosekana mahakama ya kadhi?au ili mradi tuwe nazo tu?

Magamba yanatafuta kura za waslam! Hayana pa kutokea mwakani ku.m. make Sitta safari hii utajibeba!! Hii sura inayohusu mahakama ya kadhi ilikuwamo kwenye rasmu jamani? Au magamba yameanza kuongeza ya kwake? Ku.m.make Sitta hii katiba yenu kama itapita nakuhakikishia Sitta nitakutafuta nikukojolee mdo.mo.ni!!Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.
Sichukii dini na imani za watu lakini ninaangalia amani na mwelekeo wa tiafa hili kwa sasa. Kwa muda wote katia historia ya nchi yetu, serikali haijawahi kuwa na dini lakini raia wake wamepewa uhuru wa kuabudu dini wanazozitaka ili mradi wasivunje sheria.
Ni jambo lisilomithirika, kwa ccm kuiingiza nchi yetui kwenye dhahama hii wakat dunia nzima ikishuhudia tabu ambazo watu wanapata kutokana na kuwa na serikali zenye udini.
Ninaomba ndugu zetu wa ccm, acheni jambo hili. Hamjalifanyia utafiti ila mnafanya kinafiki ili kuwa impress wazanzibar wawape 2/3 na kutafuta kura kwa misingi ya udini. Msitupeleke huko. Mnafanya jambo la hatari kuliko yote mliyowahi kufanya.
Ninaomba suala la kadhi waachiwe waislam wenyewe walisimamie na kulitekelza kuliko serikali kujiingiza katika jambo la namna hii.
Ninatetemeka, nashindwa kuandika.
Wanaoitakia mema Tanzania, wakiwemo wana ccm, waisllam na watu wa dini zote, naomba tusimamie amani ya taifa hili ambayo sasa ccm imeama kuizika rasmi.
SITA UMEFANYA LINI RESEARCH HADI UKA VALIDATE KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI ITAONDOA KERO ZA MUUNGANO? UNA MAAGANO GANI NA DAMU YA WANTANZANIA?
Kaka hiyo ni muvu ya kisiasa.Ili wanaopinga mahakama ya kadhi waichukie ukawa,itachorwa picha kuaminisha watu kama ukawa wangekuwepo suala hilo lisingepita.hapo ndipo ukawa wanaweza kupoteza wafuasi.Lakini bado mchakato kaka tusubri kura ya maoni,ikubukwe nafasi ya kampeni itakua sawa kwa kila mtu
Unapaswa uelewe katiba ya taifa ni kwa mambo ya kitaifa tu. Mahakama zilizopo zinashughulikia taifa zima. Hazipo kwa ajili ya dini fulani. Unaelewa. Tunachokikataza ni serikali kufanya masuala ya dini moja kuwa ya kitaifa. Pamoja na matumizi mabaya na kodi za watu wote, bado lilko suala muhimu zaidi la usimamizi wa serikali katika masuala ya imani za dini wakati serikali haina dini. Dunia sasa inamwaga damu kwa sababu ya seriakli zilizoingiza dini katika katiba. Wewe huangalii TV? Watu wanachinjana kwa sababu ya tawala za kidini. Na mauaji haya yanagusa wenye dini yao na wasio nayo. Huu ni mwanzo wa machafuko. Usilitazame juu juu ukadhan ni suala jepesi.
UHARABUNI???? ha haa ha nilikuwa sijacheka leo ww ndio umenichekesha...Acheni mambo ya ajabu, si muende uharabuni mkadai Kadhi. Nchi ya wote Kadhi wa nini?
Mambo ya kipuuzi nchi hii hayaishi!!!!