Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mahakama ya kijeshi nchini China imewapa adhabu ya kifo yenye kusimamishwa kwa miaka miwili mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi, Wei Fenghe na Li Shangfu, kutokana na makosa ya rushwa, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali.
Taarifa za Xinhua News Agency zinasema kuwa hukumu hiyo iliyotolewa Alhamisi ina maana kwamba baada ya kipindi cha miaka miwili, adhabu ya kifo itabadilishwa kuwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa kupunguziwa adhabu au kuachiwa kwa msamaha (parole).
Wote wawili wamekutwa na hatia ya kupokea rushwa, na mali zao zote binafsi zimefutwa na kutaifishwa na serikali.
Hatua hiyo inakuja baada ya kuondolewa kwa maafisa wengine wakuu wa kijeshi nchini humo, ikiwa ni sehemu ya kampeni kubwa ya kupambana na rushwa inayoendelea ndani ya jeshi.
Wei Fenghe alihudumu kama Waziri wa Ulinzi kuanzia mwaka 2018 hadi 2023 kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Li Shangfu mwezi Machi 2023.
Hata hivyo, muda wa Li Shangfu ulikuwa mfupi zaidi, kwani aliondolewa madarakani Oktoba 2023, miezi miwili baada ya kutoweka ghafla hadharani, hali iliyozua uvumi mkubwa kuhusu hatma yake ya kisiasa.
Mwezi Februari, Rais wa China Xi Jinping alizungumzia kwa nadra operesheni ya kusafisha jeshi, ambayo pia ilihusisha kuondolewa kwa Jenerali mkuu Zhang Youxia, katika hatua inayoendelea kuonyesha ukubwa wa msako dhidi ya rushwa ndani ya sekta ya kijeshi nchini humo.
-----
Former Chinese defence ministers Wei Fenghe and Li Shangfu were both sentenced to death with a two-year reprieve over graft charges, state news agency Xinhua reported on Thursday, underscoring the severity of the purge in the military.
The armed forces have been one of the main targets of a broad corruption crackdown ordered by President Xi Jinping after coming to power in 2012. The purges reached the elite Rocket Force, which oversees nuclear weapons as well as conventional missiles, in 2023.
Earlier this year they escalated further, resulting in the removal of the top general in the People's Liberation Army, Zhang Youxia, who was a Politburo member and was long seen as an ally of Xi.
Past reports in Xinhua said Li had been suspected of receiving "huge sums of money" in bribes as well as bribing others, and an investigation found he "did not fulfil political responsibilities" and "sought personnel benefits for himself and others".
An investigation launched into Wei in 2023 found that he had accepted "a huge amount of money and valuables" in bribes and "helped others gain improper benefits in personnel arrangements", Xinhua reported in 2024, adding that his actions were "extremely serious in nature, with a highly detrimental impact and tremendous harm".
A death sentence with reprieve in China is typically commuted to life imprisonment if the offender commits no crimes during the period of reprieve.
After the commutation, they will be imprisoned for life without the possibility of further commutation or parole, Xinhua said.
China's ongoing military corruption purges are leaving serious deficiencies in its command structure and are likely to have hampered the readiness of its rapidly modernising armed forces, the International Institute for Strategic Studies said this year.
Source: China sentences former defence ministers to death with reprieve