Mahakama ya kijeshi Uganda imepigwa marufuku kusikiliza kesi za kiraia

Mahakama ya kijeshi Uganda imepigwa marufuku kusikiliza kesi za kiraia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida.
IMG_2876.jpeg

Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji saba, likiongozwa na Jaji Mkuu Alfonse Owing Dollo, ambao wameamua kuwa ingawa mahakama za kijeshi zimeundwa kisheria, zina mamlaka tu ya kusikiliza kesi zinazohusu wanajeshi, na si raia wa kawaida.

Soma, Pia: Uganda: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi baada ya kukamatwa kinguvu akiwa Kenya

Majaji hao wameeleza kuwa hakuna uhakika wa uhuru wa mahakama za kijeshi katika kutekeleza majukumu yao, kwa kuwa majaji wake ni wanajeshi walioteuliwa na rais, hivyo basi zinaweza kuwa na upendeleo.

Uamuzi huu umetajwa kuwa ushindi mkubwa kwa watetezi wa haki za binadamu, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakipinga mashtaka ya raia kupelekwa katika mahakama za kijeshi.

==

IMG_2877.jpeg

On January 31, 2025, the Supreme Court held that military courts lack jurisdiction to try civilians and ordered officials to halt all ongoing military trials of civilians and transfer them to the country’s civilian court system, but stopped short of declaring past convictions under the military courts void.

“The Supreme Court’s decision is a major step to protect the right to a fair trial in Uganda,” said Oryem Nyeko, senior Africa researcher at Human Rights Watch. “The Ugandan government should finally ensure justice for the many civilians wrongly convicted under these military trials as well as those awaiting trial.”

For years, military courts have tried hundreds of civilians, including political opponents and government critics. The trials have often fallen short of domestic and international standards, violating the right to a fair trial and freedoms guaranteed by Uganda’s constitution.
 
Court Martial - Martial Laws
Civil Courts sheria zake zipo juu ya kila mmoja.
Hapo ndo M7 ataelewa kweli .... Dr Besige anatakiwa kupanda hapo.
 
Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida.
View attachment 3220930
Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji saba, likiongozwa na Jaji Mkuu Alfonse Owing Dollo, ambao wameamua kuwa ingawa mahakama za kijeshi zimeundwa kisheria, zina mamlaka tu ya kusikiliza kesi zinazohusu wanajeshi, na si raia wa kawaida.

Soma, Pia: Uganda: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi baada ya kukamatwa kinguvu akiwa Kenya

Majaji hao wameeleza kuwa hakuna uhakika wa uhuru wa mahakama za kijeshi katika kutekeleza majukumu yao, kwa kuwa majaji wake ni wanajeshi walioteuliwa na rais, hivyo basi zinaweza kuwa na upendeleo.

Uamuzi huu umetajwa kuwa ushindi mkubwa kwa watetezi wa haki za binadamu, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakipinga mashtaka ya raia kupelekwa katika mahakama za kijeshi.
Ebu tuone dictator Museveni kama ataweza kutii hukumu hiyo, kwasababu anatumia hiyo koti kunyanayasa wapinzani wake.
 
mseven anamwogopa sana Dr besigye nahasa pia hicho kitoto chake ,muhozi
 
Back
Top Bottom