Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
VizMwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika na uhalifu wa kivita nchini DRC ili hati ya kukamatwa na kushitakiwa iweze kutolewa tayari kwa mashauri ya kisheria katika mahakama hiyo, Mwendesha mashitaka Mkuu ameyasema hayo alipokutana na Rais wa DRC Felix Tshisekedi mapema leo.
Vizuri Sana kwa hatua hiiMwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika na uhalifu wa kivita nchini DRC ili hati ya kukamatwa na kushitakiwa iweze kutolewa tayari kwa mashauri ya kisheria katika mahakama hiyo, Mwendesha mashitaka Mkuu ameyasema hayo alipokutana na Rais wa DRC Felix Tshisekedi mapema leo.
Wamkamate slimMwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika na uhalifu wa kivita nchini DRC ili hati ya kukamatwa na kushitakiwa iweze kutolewa tayari kwa mashauri ya kisheria katika mahakama hiyo, Mwendesha mashitaka Mkuu ameyasema hayo alipokutana na Rais wa DRC Felix Tshisekedi mapema leo.
Hapo wanalengwa Colonel Naanga, Benjamin Kanyuka, James Kabarebe,Paul Kagame na Sultan MakengaWamkamate slim
Yatatimia very soonHapo wanalengwa Colonel Naanga, Benjamin Kanyuka, James Kabarebe,Paul Kagame na Sultan Makenga
Ila wewee unajiendekezaHapo wanalengwa Colonel Naanga, Benjamin Kanyuka, James Kabarebe,Paul Kagame na Sultan Makenga
hagusikiWamkamate slim
Usiwaze sanaIla wewee unajiendekeza
MBOKA NA NGAI ICC inawasubiriMwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika na uhalifu wa kivita nchini DRC ili hati ya kukamatwa na kushitakiwa iweze kutolewa tayari kwa mashauri ya kisheria katika mahakama hiyo, Mwendesha mashitaka Mkuu ameyasema hayo alipokutana na Rais wa DRC Felix Tshisekedi mapema leo.
Wamefeli wangapi,ndo iweze?MBOKA NA NGAI ICC inawasubiri
M23 mahakama inawasubiri....... mtaungana na Bosco NtagandaWamefeli wangapi,ndo iweze?
Sawa. Kikubwa tu FDLR mlikipataM23 mahakama inawasubiri....... mtaungana na Bosco Ntaganda
Wanataka kuwatia kabatiniHapo wanalengwa Colonel Naanga, Benjamin Kanyuka, James Kabarebe,Paul Kagame na Sultan Makenga
Toka mwaka 1996 mmekuwa mkiivamia Congo Ili kuwaua FDLR lakini mmeshindwa kuwamaliza.Sawa. Kikubwa tu FDLR mlikipata
Hii mahakama haina meno kama ilishindwa kumkamata bwana nyau haina maana ifunge ofisi zake tu.Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika na uhalifu wa kivita nchini DRC ili hati ya kukamatwa na kushitakiwa iweze kutolewa tayari kwa mashauri ya kisheria katika mahakama hiyo, Mwendesha mashitaka Mkuu ameyasema hayo alipokutana na Rais wa DRC Felix Tshisekedi mapema leo.
Nyau Taifa kubwa na nyau anamtumia USA sana kuinyamazisha ICC kupitia bajeti ya USA kwenda ICC, pili Nyau ndio USA na USA ndio Nyau tofauti na huyu kimbaumbau asie na chochote kimataifaHii mahakama haina meno kama ilishindwa kumkamata bwana nyau haina maana ifunge ofisi zake tu.
Sasa ofisi zake wafunge tu maana kama uwezo ilionao ni kudeal na waafrika tu haina maana. Imeshindwa kumkamata nyau, imeshindwa kumkamata putin, na ilishindwa kuwakamata wanajeshi wa marekani waliotenda uhalifu wa kivita.Nyau Taifa kubwa na nyau anamtumia USA sana kuinyamazisha ICC kupitia bajeti ya USA kwenda ICC, pili Nyau ndio USA na USA ndio Nyau tofauti na huyu kimbaumbau asie na chochote kimataifa
Kuna vitu dunia ya kwanza iliweka bvitu vinaitwa control bodies kudhibiti dunia ya tatu na kunufaika nayo na waendelee kutunyonya CONTROL BODIES ni kama ifuatavyo:Sasa ofisi zake wafunge tu maana kama uwezo ilionao ni kudeal na waafrika tu haina maana. Imeshindwa kumkamata nyau, imeshindwa kumkamata putin, na ilishindwa kuwakamata wanajeshi wa marekani waliotenda uhalifu wa kivita.