Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

Waache unafiki United Nations chini ya jopo la investigators na detectives wenye creditations za kimataifa walishafabya investigations za Genocide zilizofanywa na Kagame ,Museveni na puppets wao humo Congo wanaowaita waasi miaka mingi iliyopita ,hawa war criminals hawajachukuliwa hatua mpaka leo ,looters ,thieves ,bandits and murderers ,scum of the earth.
Report ipo inaitwa UN mapping report ,IPO muda mrefu sana
 
Ina maana miaka yote hiyo ni nini kilisababisha wasi act against hawa majambazi na wauaji wanaoharibu Congo ? Sasa hivi ndio wanajifanya kufanya vimaigizo uchwara ,
 
Waache unafiki United Nations chini ya jopo la investigators na detectives wenye creditations za kimataifa walishafabya investigations za Genocide zilizofanywa na Kagame ,Museveni na puppets wao humo Congo wanaowaita waasi miaka mingi iliyopita ,hawa war criminals hawajachukuliwa hatua mpaka leo ,looters ,thieves ,bandits and murderers ,scum of the earth.
Report ipo inaitwa UN mapping report ,IPO muda mrefu sana
MBOKA NA NGAI na genge lenu la M23 , ICC inawachunguza..
 
Kagame na Museveni ni wauaji na ndio source kubwa ya uharibifu huko Congo Kwa sababu ni majambazi yanayofanya looting miaka yote hii na hawa washenzi ni billionaires Kwa wizi ambao wamefanya humo miaka yote hii ,si ajabu wanamiliki offshore secret wealth funds huko Dubai , Seychelles ,Malta , Switzerland ,London ,Panama nk
 
Waende mbali na kuchunguza utajiri wa hawa wahuni ,kuna kitu kikubwa watagundua , majitu yana miliki magenge ya majambazi wanavuna mbao , dhahabu ,Almasi ,Coltan ,Nickel nk miaka yote hii na yet watu hawajiulizi ni kwanini vita na vurugu za kipuuzi haiziishi humo , hii sio rocket science.
Hawa USA Wasiishie Tu kupiga mikwara mbuzi na kupotezea maboya wakati wao ndio beneficiaries WA uhalifu wa hawa majambazi kwa kununua madini yanayovunwa kwa njia haramu za kihalifu na kuhifadhi pesa za hawa majambazi kwa siri zilizivunwa kiharamu Congo na hawa bandits , tatizo Africa hatujapata bold investigative journalists na investigators wenye uzalendo ,hii kitu ingewaanika wazi kabisa hawa washenzi
 
Back
Top Bottom