Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Huyo walishammaliza. Wameshatoa hati akamatwe, hivyo ni mhalifu. Anaweza kutunguliwa muda wowote.
Walishammaliza kwa kipi, huwajui warusi wewe... Warusi sio wanafiki kama walivyo West ama CCM na Chadema.

Wajaribu kumkamata ili WW3 ianze na wajutie maamuzi yao maana kabla hawajamfikia hapo Kremlin huko mahakamani jaji na hilo jengo litakua limeshakuwa majivu.
 
Mi ningekuwa ni Putin ningewahire Wagner group wawadungue hao majaji wa hiyo mahakama mmoja baada ya mwingine

Halafu yeye awe salama?. Hao hao Wagner wanaweza mgeuka wakipewa dau kubwa.
 

Hayo ni maneno tu. Aharibu mahakama ya kimataifa yeye akiwa wapi?. Huyo wameshaanza kumlia timing, hata Ghadafi na Sadam ilianza kiutani ila mwisho wakapotea.
 

Yani Putin alidhani ataichukua Ukraine kwa massaa 72, ila miaka miwili hiyo inaenda.
 
Taasisi kubwa hivi inakuja kutoa hati ya mashitaka mwaka 1 na zaidi baada ya mashambulizi kuanza?
 
Hata Putin sasa hivi akiamuwa kwenda Marekani kuudhuria kikao cha umoja wa mataifa hakuna atakaye thubutu kumkamata kama walimshindwa Albashir wa Sudan pamoja na kutembelea mataifa kibao ndo waje wamkamate Putin.

Bashir Sasa hivi yupo wapi?. Huyo Putin aende New York Basi, mbona hata Crimea anaogopa kukanyaga?.
 
Hiyo mahakama haina meno na hiyo warant imetolewa kuiridhisha tu Ukraine lakini kiufupi ni ngumu kutekerezeka hata nchi za Magharibi zina jua.

Hata ikitokea akapinduliwa watakao mpindua hawawezi kumpeleka kwenye hiyo mahakama.

Nitajie kiongozi yeyote aliyepewa warrant ambaye yupo madarakani au hakukanyaga hapo mahakamani.
 

Kutumia nuclear ni wazo la mwisho, ila Putin tayari wameanza kumdonoa kidogokidogo, na muda sio mrefu watamfikia. Alikosea kuwatumia Wagner group.
 

Mbona US hayupo ICC, na makao ya ICC ni Uholanzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…